Nyie! Cadillac Escalade inakuaje Uber?

Nyie! Cadillac Escalade inakuaje Uber?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kitu Cha Cadillac Escalade kinakuaje Uber? Huko Ni kukosa adabu kwa gari pendwa

images (22).jpeg

images (21).jpeg
 
Achana na yule Bi Mkubwa kwa sababu issue sio kuwa Uber bali Uber ya aina gani!! Kwa US, kuna Luxury Uber, kwahiyo it's no surprise Cadillac kuwa Uber ingawaje yule bibi anataka kuaminisha watu kwamba it's just like any other Uber.
 
Zipo mpaka Ferrari, Lamborghini and the likes ambazo ziko kwenye category ya luxury Uber, hivyo Escallade kuwa Uber haimaanishi ni sawa na Toyota Corolla Uber.
All in all let's say Escallade ni gari cheap kuanzia kuinunua, ushuru hadi maintenance je ni wangapi wanazo Bongo? Msilete reference za Marekani kwani ni nchi mbili zenye tofauti kubwa mno ya standards za maisha.
 
😂😂 sasa mbn wengine wanataka kujilinganisha na dunia ya kwanza mpk wanataka wawa google.
 
Cadillac ni gari ya bei mbaya kikwetu hapa na pia maintanance yake sio ya kitoto! Kwahio hao wapiga zumari wasije wakawa mislead wakati wenyewe tu kumiliki IST ni kipengele!
Ford Explorer ndo Gari ya ndoto yangu
 
Back
Top Bottom