Nyie! Cadillac Escalade inakuaje Uber?

Iifike mahali mange aachane na almasi
Sasa akiachana na Almas, manake haongelewi tena .Yy wanyonge wake walikuwa Magu, Makonda, Diamond na familia yake.

Magu Mungu kamchukua, Makonda anapiga mitikasi mengine,so sasa yy ana Diamond.

Yeye kazi yake kuweka bando na kujifungia ndani basi ana deal na Diamond pamoja na famila yake.Kaenda US miaka kibao hata kazi ya kuuza mgahawa hana, halafu kuna watu wanamuona Genius utawasikia "akili kubwa......dada wa taifa.......Da Mange kasema ",kumbe yupo yupo US anazurula na unaweza ukakuta hata uwezo wa kununua bando hana anaseleleka na WI-FI za bure US.
 
Haya majamaaa yananishangaza kweli eti mtu anaona dollar 70k ni kidogo
Hv kweli mtu ana gari mbili za 70k unaona napo hela ndogo aisee
 
Ndo maana hanenepi ana maisha magumu sana,kila mwenye nazo anamchukia
 
Achana na yule Bi Mkubwa kwa sababu issue sio kuwa Uber bali Uber ya aina gani!! Kwa US, kuna Luxury Uber, kwahiyo it's no surprise Cadillac kuwa Uber ingawaje yule bibi anataka kuaminisha watu kwamba it's just like any other Uber.
Uber ni Uber tu haijalishi ni luxury au vyovyote taxi ni taxi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…