Nyie fresh graduates, please msiwaibie mabosi wenu. Waoneeni huruma. Kuanzisha biashara mpaka ikue ni kazi nzito sana

Hapa Kuna mmoja ananizingua nimemkuta anachumba ngombe nimempaisha mpaka Sasa ananiona Kama ananisaidia ...Kuna kosa nilifanya....Ila siku si nyingi ntammwaga mavi
 
Wewe unadhani aliyeanzisha au huyo mwajiri wako hakuwa mwizi? Yawezekana aliiba kwa kalamu au kuua ili apate hiyo biashara. Kwa Tanzania hii? Ahh bhagosha.
 
Unakutana na mibuyu na wewe ni maotea wanakwambia percent Yako kiasi Fulani... Kuna pahala ni majaribu mno mno....
 
Unakutana na mibuyu na wewe ni maotea wanakwambia percent Yako kiasi Fulani... Kuna pahala ni majaribu mno mno....
Kamwe usimuibie mtu aliyekuamini. Never ever steal from someone who trusted you the most..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…