Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 905
- 1,002
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso...
Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane
Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa kupitia betting bila kuloss, niliziangalia sana odds za 1xbet kwa umakini nikagundua kuna mahala panavuja nikaanza kujitoe hela bahati mbaya sana msukuma nimeshtukiwa mapema na nimezuliwa kutoa pesa, kila nikitaka kutoa pesa napata POP-UP MESSAGE kwamba niwatumie documents kwenye Email, nimewatumia bado wanataka niwatumie SCREENSHOT ya miamala yangu kwa njia ya PC nami sina pc
Lengo la kuja hapa wazoefu wa hizi mambo naomba mnipe trick ili niweze kutoa hiyo hela bila kutumia pc, nitatoa hela ya mtaji kwa atakayeweza kunisaidia.