Nanamucho
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 119
- 567
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee š¹
Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza maswali mengi nakosa majibu,kwanza mbaba wa watu anajiamini hatariš¹
Ukweli ni kwamba,mbaba wa watu kawazidi mbali sana Vijana waliowahi nitongoza Kwa Swaga
Vijana jiaminini mnapotongoza,mnatia aibu