Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu

Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹

Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza maswali mengi nakosa majibu,kwanza mbaba wa watu anajiamini hatari😹

Ukweli ni kwamba,mbaba wa watu kawazidi mbali sana Vijana waliowahi nitongoza Kwa Swaga

Vijana jiaminini mnapotongoza,mnatia aibu
Vipi alifanikiwa kukuvua chupi? Na kama jibu ni ndiyo vipi mikito yake? Nauliza hivyo kwa sababu na mimi ni mbabu ili na mimi nijiongeze.
 
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu

Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹

Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza maswali mengi nakosa majibu,kwanza mbaba wa watu anajiamini hatari😹

Ukweli ni kwamba,mbaba wa watu kawazidi mbali sana Vijana waliowahi nitongoza Kwa Swaga

Vijana jiaminini mnapotongoza,mnatia aibu
Waaambi waambi waambieeeee
 
Back
Top Bottom