Nyie mnaonaje kuhusu hili

hapo Kuna mambo 2,kwanza anataka akusome vizuri kama unafaa kuwa mke bora au ni upepo mtupu tu ili asije akawekeza yakamfika hapa.
pili. anaweka kinga ili yakimkuta asiumie sana kimsingi anakupenda
 
Yupo kimaslahi zaidi kwako.... Hebu kaa kama wiki moja hivi usimpokelee simu zake au zima simu kabisakabisa.
 
Achana nae Njoo kwangu!
Huyo Akupendi!
 
Mkuu mpo pamoja bado ? Mie nipo nipo tu karibu
 
Kwenye mahusiano ukiona unaambiwa tu kwamba tufanye siri, jua umeliwa. Hii inaapply kwa wote sio wanaume sio wanawake.
 
Hahaha
 
Mpe muda azidi kukuongeza njia hata na yy akichoshwa atakutua si ulitoka kwenye mahusiano eee ndo hv kupokezana kuoa ataoa mwengne ww wa starehe tu bidada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…