Nyie mnaonaje kuhusu hili

Nyie mnaonaje kuhusu hili

WEWE NDO UNAMPENDA NA BADO UNAPENDA KUDANGANWA MWENYEWE MAANA UNASUBIRI NINI SIJUI....AS A MAN NASEMA HUYO YUPO NAWE ILIMRADI..MAMBO YA WE WA KISHUA NI UJINGA..NO FUTURE HAPO MGEGEDANE TU..ILA NENO LANGU SIO SHERIA ANAWEZA KUWA NA FUTURE HIZO NI WEAKNES TU ZA KUREKEBISHIKA...ILA ANGALIA KWA JICHO LA TATU
 
Hapo pita tu,,ila kuna wanaume wanajua kucare nyie ,wengine sasa sijui roho mbaya na uchoyo
 
Mapenzi ya kujificha ya nini sasa si bora uwe peke yako,,japo hua inasaidia siku mkiachana hakuna anaejua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mapenzi ya siri mnamfichia nani ukiona hivyo ujue huyo ni mume wa mtu kiufupi huyo jamaa hakupendi ni ukweli unaouoma lakini ndio ukweli wenyewe ndio tatizo la kuwa kwenye mahusiana na wanaume mahb

Halaf usiseme hujawahi kumuona na dalili za kucheat achana na hivyo viumbe siku utakapojua ana mke na watoto sijui utakufwa
Basi mfanye siri lakin awe anajali,,yaan nakuambia kuna wanaume wabinafsi hao,,lakin kuna wanaume huwahurumia wanawake
 
Hakupendi, anamtu mwingine ndiyo maana hataki mjulikane.
Pesa kwa mpenzi ni lazima hata km una pata kila kitu home, ni majibu wake kukuhudumia.
Mwenye nia na wewe atakusimulia mpk habari za watu usio wafahamu siku ukiwaona unasema tuu kumbe ni huyu.
Atakutambulisha kwa mama yake km wanapatana hata kwa simu tuuu.
 
idk ndio nn hapo cjaelewa afu ako kamwanaume kako kana tabia kama za wakwako hapo utaona mengi inshort wanaume wa sampuli hiyo hawajielew kama unampenda uwe mvumiliv unless otherwise atakua anakusumbua kichwa utakosa aman we muignore hizo tabia zake mtafika mbali
 
idk idk idk (I dont know)has been used repeatedly in your article and it implies alot.

Do you even know what you want from a relationship young lady?

Drop that nigga first, then before falling into the arms of another man, understand what it is that you want.

By the way, if it smells like fish, it proly is fish. He is using you. Say good riddance to him.
Unapatikanaga kwa machale sana....ila maneno yako hufunga mjadala..

Inasikitisha kwakweli kuona binti wa Chuo Kikuu tena mjanja wa hapa MMU....anashindwa solve ishu ka hii..
 
Muda unayotumia kunayoandika haya ungeutumia kuandika plan za kujenga kiwanda
 
Kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu

ninavyokuona mjanja humu kumbe kuna kidume kimekugeuza
'demu wa kupita njia'..

yaani jamaa anazumgumza akitaka sex tu na bado hujamuelewa anavyokuchukulia?
na hataki mjulikane?

The truth huyo jamaa anapenda tu mwili wako but hakupendi na anaona
aibu kuwa na wewe hadharani.....na hana future na wewe...
but sex ni tamu naona so anaenda na wewe kihivyohivyo....

wewe ndo bado hujui unatumika......pole sana
Ukweli mchungu huu!
 
Huyo ni mume wa mwenzio, wewe upo tuu kama jokofu la kupoozea ndizi na machungwa yake mawili.
 
Unapatikanaga kwa machale sana....ila maneno yako hufunga mjadala..

Inasikitisha kwakweli kuona binti wa Chuo Kikuu tena mjanja wa hapa MMU....anashindwa solve ishu ka hii..
Nipo aisee.

Shukran, sometimes relationships huwa sio complicated ki hivyo basi tu wanashindwa kuchukua uamuzi mgumu.
 
Me mke Wang nilimpima miez sita tu. Na hakuwai kuniomba pesa sikupoteza mda nikaoa kabisa mwaka Wa 8 ndoan sasa
 
Huwa Nina kanuni moja the moment you start having second thoughts is the moment to end it!
 
Back
Top Bottom