Muhsiniina
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 319
- 231
Hamueleweki kwakweli, wacha tu jamaa ajipe muda kumsoma, hakuna namnaAnamsoma toka mwaka jana mwezi wa nne? Anamtumia tu dada wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamueleweki kwakweli, wacha tu jamaa ajipe muda kumsoma, hakuna namnaAnamsoma toka mwaka jana mwezi wa nne? Anamtumia tu dada wa watu.
Mwak mmoja na miezi minane ni muda mrefu???? Fibs kama hutojali njoo pm unieleze shida yako ktk mahusiano naweza kukusaidia mimi ni ke km wewe usiogope atiWatu mnawezaje kua na mtu mda mrefu hivyooo! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.

idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
inawezekana ni tabia tu maana kila mmoja na tabia zake.[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
Shoow mpaka appo unatumika tu pole [emoji18]Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
NB
kama utachukua huo ushauri wa pili... bhas karibu sana PM...