Nyie mnaonaje kuhusu hili

Nyie mnaonaje kuhusu hili

muombe appointment ya kutoka out then mwqmbie tabia yake kuanzia a to z, then mpe nafac ya kuongea kwa kile ulichomwambia.
Nafikir utagundua kitu hapo
 
jaribu kukaa nae na umdadisi kuhusu future yenu
 
idk idk idk (I dont know)has been used repeatedly in your article and it implies alot.

Do you even know what you want from a relationship young lady?

Drop that nigga first, then before falling into the arms of another man, understand what it is that you want.

By the way, if it smells like fish, it proly is fish. He is using you. Say good riddance to him.
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

[emoji117]ana tabia ya visasi

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.

Kama we ni demu la kichagga basi huyo jamaa atakuwa anakupima tu. Si unajuwa wengi wenu ni majinamizi ya talaka, si kosa lake huyo jamaa. Kama unampenda mvumilie uone atakupeleka wapi. Ni vigumu sana kumchukulia maanani demu la kichagga.
 
Labda tuanzie hapa....
Huyo kijana, yupo kwenye mahusiano... lakin wewe sio chaguo lake la kwanza... namaanisha kuna mwanamke mwingine anampenda saaana... lakin bado hajafanikiwa kumpata.
jamaa yupo hapo kwako kama kuzuga zuga flani hivi ili siku ziende.. lakin akifanikiwa kumpata huyo chaguo la kwanza... we unatemwa.

Ushauri
Hapa inategemea sana na wewe unampenda kiasi gan...
Kama unampenda na unaona ana sifa zooote za mwanaume unayemtaka, mi nakushauri vumiliaa... maana intym atachoka kufukuzia hlo chaguo la kwanza... na kwakuwa mtakuwa mmekaa mda mrefu... automatically upendo utahamia kwako...

Lakin kama unaona kuna vijana wana sifa zaid yake na wanakutongoza... bhas toa nafasi kwa mwingine...
NB
kama utachukua huo ushauri wa pili... bhas karibu sana PM...
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

Hapa anakuzingua tu aidha kama nyie ni wanafunzi tena secondary kushuka.

Nje ya hapo mapenzi ni kujivunia uliye naye kama mnafanya siri wewe ni mchepuko kama tunavyofanya sisi wenye wake hatutaki wake wetu wajue.

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

sipendi mwanamke aingize pesa kama kigezo cha kupendwa au kutokupendwa ila kwenye mahusiano yote nilikuwa natoa ila kwenye kuongea napinga hatari. Umenielewa.

idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

ukiwa na mwanaume wewe ukaongoza kuwa msaada kwake kuliko kwako yeye basi jua unamhitaji zaidi ya anvyokuhitaji. Kiufupi kakushika au kwa lugha itakayokuuma unajipendekeza kwa misaada ili asikuache.

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

kweli kuna wasiojua kubembeleza ila wao hawajui kama hawajui kubembeleza kiasi cha kuulizwa kwanini hawabembelezi eti wajibu hawajui kubembeleza.

hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

Huyu kijana kaa nae mbali kama unapenda kikojoleo chako atakitumia weee mwisho holaaa

[emoji117]ana tabia ya visasi
inawezekana ni tabia tu maana kila mmoja na tabia zake.

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

yeye ana date for funny wewe umekamia niamini.

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

kucheat au kutokucheat sio jawabu la kumpenda mtu.

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.

Umeshamjudge kikubwa kaa naye mweleze yote uliyoyandika hapa jibu atakalotoa litakupa go ahead ya nini ufanye.

Tunaishi ndani ya mapenzi mabovu kwasababu tunanun'gunika nafsini, mabaya tunayoyafikiria kuhusu wenza wetu hatuwaelezi tunayeleza wengine huku tukiishi kwa binyongo. Binadamu yeyote akiambiwa baya lake kama ni la kweli anachutama.
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

[emoji117]ana tabia ya visasi

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
Shoow mpaka appo unatumika tu pole [emoji18]
 
He's not a man.....he's just a boy toy. Endelea kutafuta mwanaume wa kukufungulia Dunia.
 
Nishawai kua mwanaune wa hvo kwa dem m1 hiv,nilikua simpend.mda mref lakin,enz hzo niko chuo nna madem ka wa3 hiv,..so naamin huyo jamaa hakupend.
 
Kosa analofanya ni kutokuhudumia kipesa tu, ila mengne hamna shida, kubembeleza ni kipaji, kinakuja baada ya kuwa kwene mahusiano mengi, km unampenda mfundshe jinsi ya kukutreat
 
Huyo ni mpenzi mtazamaji andaa mazingira ya kumove on yani kweli mwanamke mzur anaangukia kwa mwanaume wa ovyo hapo akitokea mtu akafanya uone mapenzi n nin uyo jamaa yako atasema umemuacha

Kaa nae chini mwambie jinsi moyo wako unavotaka kupendwa na si sheria zake izo
 
Bora huyo kawa real mapema sasa jifanye mjuaji utapata gitaa moja mdomoni maneno mengiii utakuja na uzi mwingine hapa wa kabadilika sana baada ya kuoana
 
Back
Top Bottom