Wakala siyo mwenye hayo macho
Basi badilisha dp. Iwe ya macho na pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi badilisha dp. Iwe ya macho na pua
Mmekuwa sasa....Wacha we!! Kwahiyo ghafla tumekuwa vichwa vya familia eeh?
Khaaa....Kuacha haiwezekani, ndio tulivyoumbwa