Hakuna shida ilimradi faida ipo kama utashindwa kuhimili ushindani funga Duka.Biashara ya kuigana Kariakoo tu ndiyo Imefanikiwa...
Imagine unakuta mtaa mmoja wote Biashara ni moja...Mtaa mwingine hivyo hivyo..
Na kila Duka linauza..
Huyo ni mpuuzi asiyejua biasharaKwa k'koo hata mkifanana sio tabu,kila mtu na wateja wake na maisha yanasonga
Ila Kuna mahali pengine nmepanga,
Mwenye fremu nae anauza pale pale, Ila sharti lake uziuze bidhaa anayouza yeye au mwenzako.
Pia hapangishi fremu 2 wote muuze bidhaa za aina moja
Hoja zake ndo hizo za kugombaia wateja nakurogana[emoji4]
Huyo mwenye fremu wako yupo vizuri sana mkuu nawatafuta sana watu wa aina hii , sio wale wenye njaa njaa tu hawajui kama kuna ishu za kugombanisha wapangaji wa fremuKwa k'koo hata mkifanana sio tabu,kila mtu na wateja wake na maisha yanasonga
Ila Kuna mahali pengine nmepanga,
Mwenye fremu nae anauza pale pale, Ila sharti lake uziuze bidhaa anayouza yeye au mwenzako.
Pia hapangishi fremu 2 wote muuze bidhaa za aina moja
Hoja zake ndo hizo za kugombaia wateja nakurogana[emoji4]
Wewe huoni mimi napungukiwa wateja unafikiri nitalipaje kodi na matumizi yangu binafsi nitajihudumiaje??
We kubali umezidiwa vitu vingi ndomana unapiga kelele, angekuja na mtaji wa laki tano wala usingepanic ungekuwa unachekea kwenye sufuria, lkn Kwa vile kaja full equipped ndomana unapiga mayowe.Ubunifu gani ambao nimeushindwa mimi?? Nyie ndio mnaoleta nuksi na wanga ili sisi tulioanza tufeli ili nyinyi muendelee kuchukua nafasi yetu
Comment yangu umeielewa Mkuu?Hakuna shida ilimradi faida ipo kama utashindwa kuhimili ushindani funga Duka.
Watakuelewa wachache sana binafsi nilikuwa napiga sana pesa akaja mtu Fulani akafungua mbele yangu ..yaani upande unaotokea wateja wangu kwhy nataka kufanya jambo atajuta,Mbongo Aisee ni mtu mwenye kichwa kigumu sana. Imagine mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna biashara kama nne zinazofanana we unaenda kuanzisha biashara hiyo hiyo, hivi hii inaingia akili kweli au mnataka watu tuanze kuitana wachawi??
Mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna stationary na studio kama tano na wewe pia unataka unazishe stationary kisa tu umemuona fulani ana wateja wengi kwenye stationary na wewe umeamua kuleta biashara yako tuanze kugombania wateja mwisho wa siku watu tunaanza kuitana wachawi
Halafu isitoshe nyinyi mnaopangisha fremu utamruhusu vipi mtu afanye biashara the same kama wapangaji wengine wanafanya hiyo biashara, huko ni kuleta uchonganishi. Kugombanisha pasipo na sababu za msingi.
Hii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.
yaah kkoo hata maduka 10 ya mtaa mmoja biashara ni aina mojaa... Ukija uswazi balaa tupuu ndo maaana hata biashara ya dawa inaanza kuwa ngumu maduka na famasi kila konaa.Biashara ya kuigana Kariakoo tu ndiyo Imefanikiwa...
Imagine unakuta mtaa mmoja wote Biashara ni moja...Mtaa mwingine hivyo hivyo..
Na kila Duka linauza..
Haelewi biashara huyo mwenye fremu, msomesheni.Kwa k'koo hata mkifanana sio tabu,kila mtu na wateja wake na maisha yanasonga
Ila Kuna mahali pengine nmepanga,
Mwenye fremu nae anauza pale pale, Ila sharti lake uziuze bidhaa anayouza yeye au mwenzako.
Pia hapangishi fremu 2 wote muuze bidhaa za aina moja
Hoja zake ndo hizo za kugombaia wateja nakurogana[emoji4]
Ndo nilichojifunzaa kwa mjini huwezi kuta sehemu pamechangamka hakuna biashara unayoifikiriaa utofauti utakuja kwenye gharama za bidhaa au ubora wa huduma mkuu.Ukiwa ndani ya jiji la New york peke ake,unaambiwa ukiwa unaenda kula kwenye mgahawa mmoja kila siku,basi utatumia miaka 27 kuitembelea migahawa yote.Piga hesabu idadi ya migahawa iliyopo kwenye hilo jiji.
MORAL OF STORY:
Kuwa m'bunifu,hakuna biashara ya peke yako.Kama hutaki ushindani basi nenda sayari ya Jupiter au Mercury ukafungue huko.
Hakuna biashara ya pekeyako babu hata wakiwa Mia mtaa mmoja sifa kuu ya soko huria ni ushindani we ufanisi duni hasara zitawatoa kwenye gemu na wenye ufanisi watasavaivu, Sio kazi ya soko kuangalia Nani anauza na Nani hauzi cha msingi bidhaa sokoni iwepo ya kutosha nguvu ya demand n supply ndo itaamua Nani afunge Duka na Nani aendeleeComment yangu umeielewa Mkuu?
Maduka ya kariakoo ni tofauti na maduka tulipo sisi huku mtaani, kule wanawateja wengi na mwingiliano wa watu ni mkubwa tofauti na huku mtaani ambapo watu wakipita unawahesabu kabisa.Usiwe na wasiwasi huo kwenye biashara, hilo ni dunia nzima na ndipo biashara yako uliyeanzisha inakuwa na uhai mzuri.
Kinachotakiwa, kama ulivyisema, kuxidisha ubinifu. Unatakiwa wewe hapo uzidishe ubunifu kwenye biashara yako.
Ukitembea duniani kwenye ma biashara (hata Kariakoo) utakuta mtaa mzima au mitaa miwili mitatu inafanya biashara zinazolinga. tofauti ni ubunifu waa kila mmoja. Kama ni spae za magari utakuta maduka yote pamoja.
Saikolojia ya wanunuzi ni kutokwenda ambako ipo biashara hiyo moja peke yake. Akikosa kwako anachohitaji aondoke aende mji mwengine? Au aende upande wa pili wa mji? Utazowe tu biasara, biashara ni kazi ngumu na inayohitaji uzoefu. hata ukiendaa vibanda vya pombe utakuta watu wanaenda vilabuni ambako wauzaji ni wengi na tofauti. Hata madanguro utakuta yamegjazana au wauza miili wamejazana.
Biashara za "exclusivity" zina namna zake, labda ueleze ni biashara ipi tukupe mbinu upige mabao.
Mbongo ukitaka kumuweza fungua kampuni tu🤣 wateja watakuwa tofauti.Wabongo sio wabunifu kabisa yeye anasubiria mwenzie afanye nae aige huku kuigana igana kunatia hasira tu