Nominee
JF-Expert Member
- Sep 5, 2017
- 464
- 1,260
Ukiwa ndani ya jiji la New york peke ake,unaambiwa ukiwa unaenda kula kwenye mgahawa mmoja kila siku,basi utatumia miaka 27 kuitembelea migahawa yote.Piga hesabu idadi ya migahawa iliyopo kwenye hilo jiji.
MORAL OF STORY:
Kuwa m'bunifu,hakuna biashara ya peke yako.Kama hutaki ushindani basi nenda sayari ya Jupiter au Mercury ukafungue huko.
MORAL OF STORY:
Kuwa m'bunifu,hakuna biashara ya peke yako.Kama hutaki ushindani basi nenda sayari ya Jupiter au Mercury ukafungue huko.