Nyie mnaopenda kuiga biashara za watu hebu jaribuni kuweni wabunifu, mnaleta chuki ipo siku tutakuja kuonana wabaya

Niongeze ubunifu gani?? Wakati wauzaji tushakuwa wangi kuliko wanunuzi
 
Kabisa mkuu. Neno ubunifu watu wanalitumia vibaya hawajui sio kila biashara inahitaji ubunifu kuna mazingira yanachangia image pale wauzajii wanapokuwa kuliko wanunuzi apo kuna ubunifu gani utahitajika??
 
Punguza Bei
Hapana nitaingiza hasara kumbuka nahitajika kulipa kodi ya pango! Bado nilipe chumba nilichopanga bado nikidhi mahitaji yangu binafsi isitoshe pesa yote nimeshaingiza kwenye mtaji sina hata ya akiba
 
Ni kweli usemalo
Na lingine utakuta ana sura ngumu kila mteja anakimbia
 
Niongeze ubunifu gani?? Wakati wauzaji tushakuwa wangi kuliko wanunuzi
Toa huduma nzuri, hakikisha mtu akiwa anatoka kwao anasema aloo kwa mo anatoa huduma kabambe, kuliko wale wengine. Kwetu Kuna maduka ya dawa kama 4, lkn huwezi amini Kuna duka la dawa ukienda we mwenyewe unafeel amani, basi Kila mtu anampa sifa. Na si kwamba yule mwengine hapati rizki, anapata vile vile kulingana na mola alivyompangia, na ana lugha mbovu balaa, kama ulienda unaumwa sana usipoangalia unakufa kabisa kabla ya huduma [emoji16][emoji16][emoji16] kwa jinsi alivyo na mijineno makali, hiyo ndiyo bihashara sasa, ni full ushindani.
 
Eh. Bwana ni shida ila biashara za kibongo bila Air defence System hutoboi[emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji23] hutoboiii either uwe mcha Mungu haswaaa Hadi kwa kina mwamposa ufike au lah uwe mshirikina haswaaa kwenye vilinge kutafuta mvuto [emoji16][emoji16]. Bongo ni mtihani sana jamani khaa
 
Tukupe Shilingi ngapi Uondoe hilo neno Mangi hapo?
Si ungeweza kutumia hata Waha tu[emoji1787]
 
Hapana nitaingiza hasara kumbuka nahitajika kulipa kodi ya pango! Bado nilipe chumba nilichopanga bado nikidhi mahitaji yangu binafsi isitoshe pesa yote nimeshaingiza kwenye mtaji sina hata ya akiba
Tumia nguvu za kiroho amka saa nane ombea Biashara yako itakuwa maradufu kuzidi hapo Kuna Jamaa hiyo situation Kama yako ilimtokea lakini aliipangua na kuishinda.
 
[emoji1][emoji1] hapo ni mwendo wa chuki tu na kulogana ili mtu asavaiv Na life la bongo
 
[emoji38][emoji38][emoji23] hutoboiii either uwe mcha Mungu haswaaa Hadi kwa kina mwamposa ufike au lah uwe mshirikina haswaaa kwenye vilinge kutafuta mvuto [emoji16][emoji16]. Bongo ni mtihani sana jamani khaa
Sio Biashara kila kitu bila Nguvu za kiroho ngumu Kupata Mafanikio yaani unaweza kuwa unastragle Kupata mahitaji yako ya kila siku wakati wenzio wanagusa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…