Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
Ahahah sura ngumu Tena jamani mkuu. Anatakiwa akija mteja anasimama na kutabasamu huku akimkaribisha. Lugha ni kibebeo kikubwa kwenye bihashara, inafuatia nyenzo.Ni kweli usemalo
Na lingine utakuta ana sura ngumu kila mteja anakimbia