Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
- #101
Utakuja kugombana na watu nduguNaweka kote hapo kwake na location nyingine naweka zingine pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kugombana na watu nduguNaweka kote hapo kwake na location nyingine naweka zingine pia
Sasa kwanini wewe mwenye nyumba unafanya hivyo?As long as kodi ya fremu ya miezi 6 amenilipa haina shida. We jiongeze waganga hawatoi majini tu😀
Kampuni gharama sana kwa sisi wa hali ya kipato cha chini. Tunaamua kuishi nao hivo hivo tu japo mauzi ni mengiMbongo ukitaka kumuweza fungua kampuni tu[emoji1787] wateja watakuwa tofauti.
Nataka helaaa 🤣🤣🤣 asanteeSasa kwanini wewe mwenye nyumba unafanya hivyo?
Hahahahahah funga kingamuz cha watejaNimeshadhamiria baadae tusije tukalaumiana
Niongeze ubunifu gani?? Wakati wauzaji tushakuwa wangi kuliko wanunuziBila shaka bihashara Bado mpya eeh [emoji23][emoji23][emoji23] maana sio kwa makasiriko hayo. Ongeza ubunifu mkuu na namna ya utoaji huduma, hiyo ndiyo silaha yako kuu. Lasivyo utahama hapo bila kupenda [emoji16][emoji16]. Halafu punguza hasira, bihashara haitaki hiyo. Pambana.
Niongeze ubunifu gani?? Wakati wauzaji tushakuwa wangi kuliko wanunuzi
Kabisa mkuu. Neno ubunifu watu wanalitumia vibaya hawajui sio kila biashara inahitaji ubunifu kuna mazingira yanachangia image pale wauzajii wanapokuwa kuliko wanunuzi apo kuna ubunifu gani utahitajika??Neno Ubunifu linatumika ndivyo sivyo; Biashara hizi unless wewe ni UBER, Ebay, Amazon et-al; au teknolojia fulani ikitoka kutumia teknolojia hio kurahisisha mambo huenda huo ndio ukaita Ubunifu...
Ukiona watu wanafanya hicho unachofanya, una genge la nyanya na yeye analeta ni kwamba barrier of entry huenda ni ndogo - Hakuna mtu hajui nini Kilimanjaro / Uhai au maji yoyote anachofanya ila ni investment needed ni kubwa basi watu wanabaki kuangalia tu.... na hata wakiingia ile first to market na branding bado huenda ikawazuia
Pili kama vipi hao watu wengi wamekuja kuiga hio Biashara na wewe ni Gwiji la kunusa Fursa basi watumie hao wengi kama wateja - kuwa supplier wao bidhaa wanazotaka....
Sema issue kubwa watanzania wote ni madalali katika level tofauti na ni wachuuzi wa kutoa hapa kupeleka pale ama sivyo haya mambo yasingetokea...., Mbona hawajaenda Kumuiga Diamond au watoke kabisa Tanzania wakamuige Messi; na kina Ronaldo....
Hapana nitaingiza hasara kumbuka nahitajika kulipa kodi ya pango! Bado nilipe chumba nilichopanga bado nikidhi mahitaji yangu binafsi isitoshe pesa yote nimeshaingiza kwenye mtaji sina hata ya akibaPunguza Bei
Ni kweli usemaloTanzania idadi kubwa ya watu ni wafanyabihashara, wafanyakazi ni asilimia chache. Asa anataka bihashara moja afanye peke yake?, Hiyo haitotokea abadani. Bali bihashara ni ushindani, na katika ushindani anatakiwa aongeze ubunifu na njia za kufanya bihashara yake ionekane Ina huduma Bora zaidi yake, bila kukosa maombi. Na kama si muombaji basi ndo hivyo ageukie upande wa pili, lakini hivi hivi hatoboi. Narudia Tena bila maombi hatoboi [emoji1][emoji1]
Na atakula hasara za kutosha ule mtaa atauona mchunguHahahahahah funga kingamuz cha wateja
Toa huduma nzuri, hakikisha mtu akiwa anatoka kwao anasema aloo kwa mo anatoa huduma kabambe, kuliko wale wengine. Kwetu Kuna maduka ya dawa kama 4, lkn huwezi amini Kuna duka la dawa ukienda we mwenyewe unafeel amani, basi Kila mtu anampa sifa. Na si kwamba yule mwengine hapati rizki, anapata vile vile kulingana na mola alivyompangia, na ana lugha mbovu balaa, kama ulienda unaumwa sana usipoangalia unakufa kabisa kabla ya huduma [emoji16][emoji16][emoji16] kwa jinsi alivyo na mijineno makali, hiyo ndiyo bihashara sasa, ni full ushindani.Niongeze ubunifu gani?? Wakati wauzaji tushakuwa wangi kuliko wanunuzi
Uko sahihi Bro!!![emoji1787]Kariakoo ni business Hub. Kariakoo ni international market bro! [emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji23] hutoboiii either uwe mcha Mungu haswaaa Hadi kwa kina mwamposa ufike au lah uwe mshirikina haswaaa kwenye vilinge kutafuta mvuto [emoji16][emoji16]. Bongo ni mtihani sana jamani khaaEh. Bwana ni shida ila biashara za kibongo bila Air defence System hutoboi[emoji1787]
Tukupe Shilingi ngapi Uondoe hilo neno Mangi hapo?Hahahah iko hivyo yani. Ukija mtaa nnaoishi utacheka. Yani kila mtu anayefungua biashara ni duka la mangi, butcher, pharmacy[emoji1787] sema maduka ya mangi ndio yamezidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kwa haraka tu yapo kama 14 pamoja na la jumla moja ni 15 shops.
Tumia nguvu za kiroho amka saa nane ombea Biashara yako itakuwa maradufu kuzidi hapo Kuna Jamaa hiyo situation Kama yako ilimtokea lakini aliipangua na kuishinda.Hapana nitaingiza hasara kumbuka nahitajika kulipa kodi ya pango! Bado nilipe chumba nilichopanga bado nikidhi mahitaji yangu binafsi isitoshe pesa yote nimeshaingiza kwenye mtaji sina hata ya akiba
Hata hizi hawi nazo peke yake na jirani zake wanazo 😎Kitu pekee unaweza kua nacho peke yako hapa Duniani ni kyuma ama mboo tu.
[emoji1][emoji1] hapo ni mwendo wa chuki tu na kulogana ili mtu asavaiv Na life la bongoHahahah iko hivyo yani. Ukija mtaa nnaoishi utacheka. Yani kila mtu anayefungua biashara ni duka la mangi, butcher, pharmacy[emoji1787] sema maduka ya mangi ndio yamezidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kwa haraka tu yapo kama 14 pamoja na la jumla moja ni 15 shops.
Sio Biashara kila kitu bila Nguvu za kiroho ngumu Kupata Mafanikio yaani unaweza kuwa unastragle Kupata mahitaji yako ya kila siku wakati wenzio wanagusa tu[emoji38][emoji38][emoji23] hutoboiii either uwe mcha Mungu haswaaa Hadi kwa kina mwamposa ufike au lah uwe mshirikina haswaaa kwenye vilinge kutafuta mvuto [emoji16][emoji16]. Bongo ni mtihani sana jamani khaa