Nyie mnaopenda kuiga biashara za watu hebu jaribuni kuweni wabunifu, mnaleta chuki ipo siku tutakuja kuonana wabaya

Sio Biashara kila kitu bila Nguvu za kiroho ngumu Kupata Mafanikio yaani unaweza kuwa unastragle Kupata mahitaji yako ya kila siku wakati wenzio wanagusa tu
Unataka kusema Wana mvuto wa asili eeh [emoji2960]
 
Hapa kijijini kuna jamaa alinunua trekta, sasa kila mtu anunua trekta hasa wastaafu akipata vile vihela anakimbilia trekta, sahv yapo matrekta tisa kijiji kimoja. Huyu jamaa alijenga pia mashine ya kukoboa mpunga, wengine wakaunga tela, ndani ya centa ndogo mashine zipo kama saba. Na hii imetokea ndani ya miaka mitano tu.
 
Tumia nguvu za kiroho amka saa nane ombea Biashara yako itakuwa maradufu kuzidi hapo Kuna Jamaa hiyo situation Kama yako ilimtokea lakini aliipangua na kuishinda.
Kuna jamaa alikuwa best angu, alikuwa na stationary, Kuna kipindi bihashara iliyumba kwake, akawa anafunga Hadi siku 3 hali. Ghafla bin vu akaja mtu pembeni yake akafungua stationary na yeye. Jamaa mbona alihama, alitafuta place nyengine kwa mbele yake ambayo Imechangamka hatari. Ndo yupo hapo mpk Leo. Ila namuaminia kwa kuiombea bihashara yake.
 
Biashara ni kitu kinakuhitaji kuwa mpana sana wa idea.Unapaswa kufanya biashara leo huku ukiwaza kesho.
Hii ni kwasababu biashara yoyote yenye wateja ina shawishi watu wengine kuingia humo humo na huwez zuia hilo hivyo cha msingi ni kuhakikisha una grow (wewe binafsi) kwenye biashara unayofanya huku ukihakikisha biashara pia ina grow.

Uki grow wewe kwenye biashara utajikuta una namna ya ku acquire na kutengeneza loyal customers ambao utawafanya kuwa wako hata akose bidhaa kwako atakua radhi aache pesa kwako wewe ndio ukamnunulie kwa jirani (hapa kuna mengi ya kufanya).
So wenzako wanafikiri watagawana wateja na weww wanajikuta wanaambulia patupu.
WATEJA WANATENGENEZWA hawaji tuuu kama utataka biashara yako isi suffocate baada ya muda fulani.Ukitegemea kufungua biashara kila asubuh huku hujui wateja wanatoka wapi hilo ni tatizo kubwa. Hil hakuna darasa la kukufundisha , ni skills ambazo unapaswa kujifunza kwa kuisoma game ya biashara yako. Ndio maana voda wapo, tigo wapo na mwishon hallotel kaingia sokoni lakin huwasikii ma giant wakilalamika.


PIli u have to make sure biashara yako ina grow.Hapa napo kuna maelezo yake.

NB.
Kufanya biashara lazima kuambatane na kujifunza juu ya hiyo biashara yako kila siku.Sio kufungua na kufunga duka tuu.
 
Kweli bila kuiombea Biashara yako au kuroga hautobi ndo maana nilkuwa nawashangaa wahindi nawaarabu wanavosali Sana kariakoo kumbe Nikuimarisha Nguvu that way wapo imara.
 
Hapa umenena[emoji1666]
 
Yani ni kukosa ubunifuu.. Vipi trekta alikuwa anakodisha au???[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kweli bila kuiombea Biashara yako au kuroga hautobi ndo maana nilkuwa nawashangaa wahindi nawaarabu wanavosali Sana kariakoo kumbe Nikuimarisha Nguvu that way wapo imara.
Mkuu naomba mbinu 🤣
 
[emoji38][emoji38][emoji23] hutoboiii either uwe mcha Mungu haswaaa Hadi kwa kina mwamposa ufike au lah uwe mshirikina haswaaa kwenye vilinge kutafuta mvuto [emoji16][emoji16]. Bongo ni mtihani sana jamani khaa
Hahahah maisha hayapo kama uyaonavyo
 
huyo mtu aliona mapungufu kwako, akayatumia kama fursa, ukitaka kuifunga hiyo biashara anza kuahangaika na huyo jamaa.
Wewe funguka hapa, sema umefungua biashara flani, unazidiwa kete ufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…