Nyie niitieni George

Nyie niitieni George

Dada tuliza moyo ufanye maamuzi mazuri we nenda hovyo mapenzi sio chai dada!,mi sikukatazi ila kuwa makini penye hisia weka na akili.[emoji28]

Kwa Mara ya kwanza nungunungu nimetoa ushauri mpk moyo wangu umesema yes..[emoji23]
Nimecheka kwa sauti
 
Mshaachanaaa!! Safi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeona komenti yako mpk mkojo umetaka kupita..🤣🤣
Watu mnamaneno mabaya! So umefurahi sasa..?
 
Nimeona komenti yako mpk mkojo umetaka kupita..[emoji1787][emoji1787]
Watu mnamaneno mabaya! So umefurahi sasa..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si nilikwambia mimi hata mwaka hamtamaliza lakini[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Nisaidie Basi..😅
 
Back
Top Bottom