CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kiherehere . kwani huwa tunakuja kunya kwako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kiherehere . kwani huwa tunakuja kunya kwako?
Sasa we una faida gani humu duniani?si umfate Yesu tu Jerusalem,alafu ye nae alikua mpiga mvinyo maarufu.Namshukuru Mungu sinywi wala situmii kilevi chochote kibongobongo pombe sio ya kuendekeza sana na kiukweli ukiweza usinywe kabisa. Mwingine nyumbani kwao hata choo hakuna ila kiti. Kirefu humkosi...wenzetu Warussia haiwababaishi huku limtu linajifunzia ukubwani mshahara ukitoka unazungukwa na marafiki ukiisha wanapita hivi niliapa kwa majina ya Baba yangu sitakaa niguse kilevi chochote wacha nionekane mshamba...
Pombe inarudisha watu nyuma sana sina mda wa kujilaumu mbele ya safari...Mimi na kahawa yangu na soft drinks zangu eti ukienda mahala marafiki wananiambia this is too local nawa jibu acha huo ulocal unitokee puani ila pombe big no!...Ukienda mahali wanakunywa pombe Kali chukua redbull yako on rock tumia whisky Glass changanya na Maji kidogo wale vifata mkumbo ili usionekane unaleta inzi mezani sina ulevi wa ngono maana nawajua mtasema Niko huko...hahaaaaa haaa
Bora shing'waa 😀😀anakuuliza"cd na chakula bora nini?".
Tutakunywa wote... ila usije legeza jicho na hakuna kusumbuana...Hahhahha kama kweli vile kumbe unachora wenzio
Naisubiri kwa hamu hiyo ya tutakunywa woteTutakunywa wote... ila usije legeza jicho na hakuna kusumbuana...