Nyie, Tunyweni bia

Nyie, Tunyweni bia

Namshukuru Mungu sinywi wala situmii kilevi chochote kibongobongo pombe sio ya kuendekeza sana na kiukweli ukiweza usinywe kabisa. Mwingine nyumbani kwao hata choo hakuna ila kiti. Kirefu humkosi...wenzetu Warussia haiwababaishi huku limtu linajifunzia ukubwani mshahara ukitoka unazungukwa na marafiki ukiisha wanapita hivi niliapa kwa majina ya Baba yangu sitakaa niguse kilevi chochote wacha nionekane mshamba...

Pombe inarudisha watu nyuma sana sina mda wa kujilaumu mbele ya safari...Mimi na kahawa yangu na soft drinks zangu eti ukienda mahala marafiki wananiambia this is too local nawa jibu acha huo ulocal unitokee puani ila pombe big no!...Ukienda mahali wanakunywa pombe Kali chukua redbull yako on rock tumia whisky Glass changanya na Maji kidogo wale vifata mkumbo ili usionekane unaleta inzi mezani sina ulevi wa ngono maana nawajua mtasema Niko huko...hahaaaaa haaa
Sasa we una faida gani humu duniani?si umfate Yesu tu Jerusalem,alafu ye nae alikua mpiga mvinyo maarufu.
Tuachie pombe zetu bana.
 
Hivi kuanzia mwaka mpya wa fedha wa serekare, bucket itauzwa bei gani?
 
Huyo ambae hanywi unakuta ni pangu pakavu kuliko mnywaji. Kunywa ww inaongeza uwezo wakutafuta pesa .
 
Mwagilia moyo tu.Lete chui mweusi ,mishaki 2 na pilipili mbuzi 93.
 
Back
Top Bottom