Nyie vijanaume vifupi acheni kujitutumua mnapokua na wake/wapenzi wenu mbele yetu sisi wanaume warefu

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo manzi wake eti wakati wanaondoka kilivyoona nawaangalia kikampiga huyo manzi wake kiss.

Nyie maemolo acheni kujidai mbele zetu maana kuwachapia ni dakika sifuri tu.
 
Kitendo cha kukupa mamba kwenye ulimwengu uliofichika unaona huyo demu alishapoteza binah na loyalty kitambo hivyo unakwenda kuingia kwenye mikosi kama inayomkuta huyo mtu mfupi
 
Ngoja waje
 
nadhani tatizo liko kwako na wala si huyo jamaa, jitahidi kupunguza makasiriko unapoona watu wanafurahia maisha yao..
 
Wewe mnduku watu wafupi wanataka wakukule au
 
Reactions: EEX
Kumbe hata kagame anatuona wafupi sana tanzania na congo.
 
Watu wafupi wana matatizo mengi na ndo wanaongoza kuwa na viba100,wanachofanya wanawake wao wanavuta mpunga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…