Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okra ndio nini
Punguza shobo ishi kama mwanaumeKuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo manzi wake eti wakati wanaondoka kilivyoona nawaangalia kikampiga huyo manzi wake kiss.
Nyie maemolo acheni kujidai mbele zetu maana kuwachapia ni dakika sifuri tu.
Kibamia, usijifanye hujaelewa.Okra ndio nini
Hebu weka picha tukaone ka Emoro kanavyojitutumua? Sipati picha kalivyokuwa kananing'inia kushika kiuno!Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo manzi wake eti wakati wanaondoka kilivyoona nawaangalia kikampiga huyo manzi wake kiss.
Nyie maemolo acheni kujidai mbele zetu maana kuwachapia ni dakika sifuri tu.
Ha ha ha subiri wanakuja leo utawakoma hao watu wafupiKuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo manzi wake eti wakati wanaondoka kilivyoona nawaangalia kikampiga huyo manzi wake kiss.
Nyie maemolo acheni kujidai mbele zetu maana kuwachapia ni dakika sifuri tu.
Katika hii Dunia ya tech & money Bado Kuna mtu anaona kuwa na fibula na Rabia ndefu ni assetYou are not happy with yourself, Work on this first.
Usipofanya hivyo huo urefu hautakusaidia kitu.