Nyie vijanaume vifupi acheni kujitutumua mnapokua na wake/wapenzi wenu mbele yetu sisi wanaume warefu

[emoji1787] inaumaa haha afu ukute sasa mwanetu umerusha ukakataliwa na huyo manzi
 
Wanachaongalia Sasa Hivi Hao Vipenzi Vyetu Ni Urefu Pochi Tu.
 
Punguza shobo ishi kama mwanaume
 
Hebu weka picha tukaone ka Emoro kanavyojitutumua? Sipati picha kalivyokuwa kananing'inia kushika kiuno!
 
Ha ha ha subiri wanakuja leo utawakoma hao watu wafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…