Nyie wachora ramani waongo sana

Nyie wachora ramani waongo sana

Alivyopiga hesabu akaniambia tofauti 1100 tu mzigo Tayari unaisha!,nikasema maisha si ndio hayo najenga chap chap!nilichokutana nacho hizo tofali 1000 zimeisha tu kwenye msingi

Labda alikadiria tofali zenye ukubwa kama ule wa tofali za pyramids za Giza
 
Inategemea alimaanisha tofali za ukubwa gani na ww umetumia za ukubwa gani[emoji28]

Ukute alikuambia tofali za blocks ww ukatumia za kuchoma ( bricks) hapo lazima mgombane tu![emoji28]

Karibu nikusaidie kuifanyia makadirio upya kama hutojali
Mkuu nipatie ramani ta hii nyumba , idadi ya tofari pamoja na mabati
IMG-20230320-WA0009.jpg
 
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla,basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa ninaotaka nyumba za vyumba viwili tu sema vile vyumba vya kujinafasi mita 5 kwa 5,baada ya kuichora akanitumia picha na pia nikamwambia anipigie makadirio itachukua matofali mangapi na bati ngapi!
Alivyopiga hesabu akaniambia tofauti 1100 tu mzigo Tayari unaisha!,nikasema maisha si ndio hayo najenga chap chap!nilichokutana nacho hizo tofali 1000 zimeisha tu kwenye msingi halafu kiwanja ni tambarare!
Hadi nivyoandika hapa nimekimbia msingi na aliyechora ramani tumegombana hadi urafiki umeisha
We ulidanganywa, mimi jamaa kanichorea ramani na kanipa BOQ ya kila kitu kaniambia tofali 940 za msingi na kila kitu. Fundi kaja kasema tofali 1200 na mimi nikanunua. Mwishi wa siku kaishia kutumia tofali 918 nyingne zote zimebaki. Nikaamini aliyechora ramani na kuandaa BOQ anajua.
Sasa hivi nafuata BOQ kununua materials zikipungua ndipo naongeza.
Wewe aliyekuchorea kanjanja.
Halafu pia inategema alimaanisha tofali za ukubwa gani mm kaniwekea tofali na idadi kwa ukubwa 3 tifauti.
 
Sasa ukikuta Huyo Civil/Archtecture Eng., wakiwa wanabishana na Tajiri na fundi mzoefu ambaye hajasoma mambo ya ujenzi, utacheka.

Fundi: Tajiri unajua mimi ndiye nafanya kazi hapa, wewe si unaona hao ni wasoma ramani tu, hata mwiko hawajui kushika.
 
[emoji1787][emoji1787]nina mshakaji wangu mbishi sana alikua na picha na clip ya nyumba fulan kali sana toka 2017 akisema atajenga nyumba kama hii akikaa vizur.

Akamuliza fundi makadirio ya tofali,cement kila kitu ili boma likamilike,, nyumba ya vyumba vi 3 vya kulala, chumba kimoja master, choo public, jiko, sehem ya kulia chakula na sehem ya kupumzika.

Jamaa akafanya kimya kimya et akitaka aje anioneshe boma likikamilika..sasa makadrio ya yule fundi yalikua ni uongo jamaa akaona mbona hela inatosha tu hii baada ya kupiga hesabu kutokana na makadirio ya fundi akakurupuka kuanza ujenzi.

Kaishia kwenye msingi na hela imekata anamtukana kila siku yule fundi..kumbe nilivokua nambishia hiyo hela halitosis yeye akaona mimi namshauri vibaya akamsikiliza fundi alafu mimi akanificha kwanza

Hata mimi niliona pesa niliyokuwa nayo ni nyingi sana kumbe hata msingi haitoshi
 
Sasa ukikuta Huyo Civil/Archtecture Eng., wakiwa wanabishana na Tajiri na fundi mzoefu ambaye hajasoma mambo ya ujenzi, utacheka.

Fundi: Tajiri unajua mimi ndiye nafanya kazi hapa, wewe si unaona hao ni wasoma ramani tu, hata mwiko hawajui kushika.

Kama vile ulikuwepo [emoji28]nilikuwa nabishana na mafundi kuwa msingi ni tofali 300 pekee matokeo yake zinaenda 1000 nashuhudia kwa macho yangu ,nilikuwa bega kwa bega hata kula siendi
 
Kikawaida chumba kinakula tofali 400 kwa chumba cha futi 10-12 . Mafundi wengi ni bababishaji, tulimwambia fundi hili eneo linatakiwa fance kiasi gani akatuyajia kumbe hata kupima hajapima, kuja kuweka imeishia kati ashukuru mm ckuwapo toka mwanzo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimetumia tofali za blocks mkuu sio za kuchoma [emoji28]jamaa ameniponza sana mahesabu yangu ilikuwa milioni 3 tu ngoma ishapendeza matokeo yake hata kifusi cha msingi sijamwaga

Yaan wewe nae Yan vyumba viwil tofar 1000 Acha utan broo
 
😂😂😂😂😂 na ulimlipa bei gani im curious
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla,basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa ninaotaka nyumba za vyumba viwili tu sema vile vyumba vya kujinafasi mita 5 kwa 5,baada ya kuichora akanitumia picha na pia nikamwambia anipigie makadirio itachukua matofali mangapi na bati ngapi!
Alivyopiga hesabu akaniambia tofauti 1100 tu mzigo Tayari unaisha!,nikasema maisha si ndio hayo najenga chap chap!nilichokutana nacho hizo tofali 1000 zimeisha tu kwenye msingi halafu kiwanja ni tambarare!
Hadi nivyoandika hapa nimekimbia msingi na aliyechora ramani tumegombana hadi urafiki umeisha
 
Uongo huo mimi nyumba yangu kubwa na msingi wa Tofar sita imekula 1250

Chumba master

Vyumba viwil

Jiko store dinning sitting

Acha uongo et vyumba viwil msingi Tofar 1000 big no [emoji51]
 
Ni ngumu sana ukitumia vipimo kukosea labda mhusika awe hajawahi kufika ili afanye survey eneo lako.
 
Ha haa weww si huwa unasema watu wanaongeza masifuri? Haya fanya utubu. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla,basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa ninaotaka nyumba za vyumba viwili tu sema vile vyumba vya kujinafasi mita 5 kwa 5,baada ya kuichora akanitumia picha na pia nikamwambia anipigie makadirio itachukua matofali mangapi na bati ngapi!
Alivyopiga hesabu akaniambia tofauti 1100 tu mzigo Tayari unaisha!,nikasema maisha si ndio hayo najenga chap chap!nilichokutana nacho hizo tofali 1000 zimeisha tu kwenye msingi halafu kiwanja ni tambarare!
Hadi nivyoandika hapa nimekimbia msingi na aliyechora ramani tumegombana hadi urafiki umeisha
Kwani ukiambiwa mchoraji lazima awe mkadiriaji?
Kazi ya Quantity survayor (QS) ni nini?
 
Makadirio ya Nyumba yanatokana na Eneo husika na namna Msingi unavyotaka kujengwa.

Mfano , Mtu anae chimba Msingi wa futi 3 ni tofauti na Msingi wa futi 2 ama futi 1 na Nusu

Pia inategemea na Msingi wa hiyo Nyumba , mfano baada ya kuchimba kule China unatanguliza nini...so watu wengi hiki kitu hawakijui....all in all, Jitahidini kutafuta wataalam wawasaidie...
 
Back
Top Bottom