[emoji1787][emoji1787]nina mshakaji wangu mbishi sana alikua na picha na clip ya nyumba fulan kali sana toka 2017 akisema atajenga nyumba kama hii akikaa vizur.
Akamuliza fundi makadirio ya tofali,cement kila kitu ili boma likamilike,, nyumba ya vyumba vi 3 vya kulala, chumba kimoja master, choo public, jiko, sehem ya kulia chakula na sehem ya kupumzika.
Jamaa akafanya kimya kimya et akitaka aje anioneshe boma likikamilika..sasa makadrio ya yule fundi yalikua ni uongo jamaa akaona mbona hela inatosha tu hii baada ya kupiga hesabu kutokana na makadirio ya fundi akakurupuka kuanza ujenzi.
Kaishia kwenye msingi na hela imekata anamtukana kila siku yule fundi..kumbe nilivokua nambishia hiyo hela halitosis yeye akaona mimi namshauri vibaya akamsikiliza fundi alafu mimi akanificha kwanza