Nyie wachora ramani waongo sana

Sio rahisi mkuu, sasa nitafanya makadiro bure!? Ama bila makubaliano yoyote?? Aidha kama unanipa kazi labda au kama unanilipa boss sababu ni kipengele mkuu
Ramani ya hiyo nyumba utanicharge bei gani
 
Ramani ya hiyo nyumba utanicharge bei gani
Inategemea unahitaji vitu gani, aidha kama ni floor plan tu ama utataka na sections na kila kitu complete, so ni ww..... na ni vizuri pia kuzingumza haya DM boss wangu
 
Kama vile ulikuwepo [emoji28]nilikuwa nabishana na mafundi kuwa msingi ni tofali 300 pekee matokeo yake zinaenda 1000 nashuhudia kwa macho yangu ,nilikuwa bega kwa bega hata kula siendi
Sikia mkuu, Graduate architect mwenye bachelor degree anasoma miaka mitano. Graduate quantity surveyor mwenye bachelor degree, anasomea miaka minne. Hakuna graduate qs au graduate architect anaeweza kukupa estmate ya tofali 1100 kwa nyumba ya standard ya vyumba vitatu, let alone vyumba vitano!

Kwahiyo kabla hatujaanza kutupa lawama kwa wataalam, hebu kwanza tupe uhakika wa taaluma ya huyo jamaa aliekupa hizo estimates za tofali 1100 kwa nyumba ya vyumba vitano!

Umesema alimaliza sekondari akaenda kusomea "mambo ya kuchora ramani"? Ok sawa!
 
Nimetumia tofali za blocks mkuu sio za kuchoma [emoji28]jamaa ameniponza sana mahesabu yangu ilikuwa milioni 3 tu ngoma ishapendeza matokeo yake hata kifusi cha msingi sijamwaga
Tofali 1100 ni kijumba police post tena cha slope.
 
Si ulikua unatusisitiza tusijenge nyumba kubwa ,imekuaje sasa hayo mavyumba ya mita 5 kwa 5 ,enewei ukiwa unajenga tegemea kupata stress kibao[emoji119][emoji56]

Niliongeza ukubwa kwa sababu ya mtaalamu fake kunishauri kuwa kujenga ni rahisi kama kushuka mlima kitonga kumbe balaa buluu
 

Vyumba vitano vimekujaje tena hapa ama unatumia pombe kali [emoji276]
 
Cheti chake cha ERB(Engineering Registration Board)ulikiona ama cha Architecture ,si umeweka undugu Mbele ukampa dalali kazi SASA UNALIA NINI!??
 
Kwa mfumo wa rasmi wa elimu ya mambo ya Ujenzi nchini...
Mchora ramani ni elimu ya VETA - CIVIL DRAUGHTSMAN.

Hapa ulipaswa kusema kasomea fani gani haswa,kwa maana kuna wachora ramani za Mipango miji.

Ni ngumu sana mtu Aliyesomea Usanifu Majengo au Uhandisi wa Ujenzi Majengo, kushindwa kukupa hiyo Hesabu simple, hata awe kilaza kiasi gani.

Lakini pia, je, nawe inawezekana ulitaka huduma kwa bei mteremko, so akaamua kukukomoa...
 
Hii thread haijashiba na uache kuchafua taaluma za watu.
Ukubwa wa kiwanja hauainisha hapa,na pia eneo lilipo kiwanja haujaweka hapa.
 
Nimetumia tofali za blocks mkuu sio za kuchoma [emoji28]jamaa ameniponza sana mahesabu yangu ilikuwa milioni 3 tu ngoma ishapendeza matokeo yake hata kifusi cha msingi sijamwaga
milioni 3 labda kibanda cha kuku lakini sio nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…