Sikia mkuu, Graduate architect mwenye bachelor degree anasoma miaka mitano. Graduate quantity surveyor mwenye bachelor degree, anasomea miaka minne. Hakuna graduate qs au graduate architect anaeweza kukupa estmate ya tofali 1100 kwa nyumba ya standard ya vyumba vitatu, let alone vyumba vitano!
Kwahiyo kabla hatujaanza kutupa lawama kwa wataalam, hebu kwanza tupe uhakika wa taaluma ya huyo jamaa aliekupa hizo estimates za tofali 1100 kwa nyumba ya vyumba vitano!
Umesema alimaliza sekondari akaenda kusomea "mambo ya kuchora ramani"? Ok sawa!