Nyie wadada wa JF, mnapenda wanaume wa Dar au wa mikoani?

Tafrisi ya neno Mwanamme sio mwanaume maana yake ni jinsi ya kiume yenye ukomavu kwanzia akili pamoja na misuli.

Sasa sijajua unaulizia Mwanamme wa dar au wa mikoani vise versa?

Sielewagi maswali kiharaka hivyo mimi.
 
Hapana, wewe upo convinced sana na mwanamume wa dar au mkoani?

Mfano wakaja wanaume wawili bora kabisa na wanaoendana na vigezo unavyotaka mumeo awe navyo,, mmoja ni wa mkoani na mwingine ni wa dar, utachukua yupi?
Nahisi nitamchukua yule aliye karibu yangu,kimakazi...
 
Tafadhalini sana kuna wanume tulioko nje ya nchi naomba muwe mnatukumbuka
 
Duuh! Mie naona mwanaume akishakuwa anajitambua na kuutendea haki uanaume wake basi huyo ndiye mwanaume bora na anayefaa.

Haijalishi ni wa Dsm au Mkoani.
Naomba nafasi kwako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…