Nyie wadada wa JF, mnapenda wanaume wa Dar au wa mikoani?

Nyie wadada wa JF, mnapenda wanaume wa Dar au wa mikoani?

Tafrisi ya neno Mwanamme sio mwanaume maana yake ni jinsi ya kiume yenye ukomavu kwanzia akili pamoja na misuli.

Sasa sijajua unaulizia Mwanamme wa dar au wa mikoani vise versa?

Sielewagi maswali kiharaka hivyo mimi.
 
Duuh! Mie naona mwanaume akishakuwa anajitambua na kuutendea haki uanaume wake basi huyo ndiye mwanaume bora na anayefaa.

Haijalishi ni wa Dsm au Mkoani.
Naomba nafasi kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom