Nyie wadada...

Nyie wadada...

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,937
Reaction score
3,959
Nyie madada mnaovaa mawigi yenu kichwani yanavyowatoa chicha mnaonekana ka kina Rihanna, Beyonce au yule mke wa Kanye West. Kiukweli yanawapendeza mnoooo wengi wenu ila chondechonde mnapoanza kuyavua ili tuanze kale kamchezo muwe mnatuandaa jamani.

Utakuta dada anavua wigi unakutana na kichwa kina chogo ka tarumbeta. Wengine mna nywele tu, wengine vichwa vina mabutu ka bibi wa Kisarawe, kuna wale nywele zinazoanzia utosini.

Muwe mnatuandaa jamani, mtakuja kuua bila kukusudia. chaaah!!
 
hahahhh shemej uje huku imenikumbusha kitu Cc wambeke [emoji23]
 
wanawake wanatabu sana ntawaombea kwa mungu waondokane na hayo matatzo yakuvaa mawigi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mkuu unataka uandaliwaje??
 
Back
Top Bottom