Nyie wadada...

Nyie wadada...

Umetumwa unywele wa mwanamke na mganga unapeleka unywele wa wigi, hata akirogwa anarogeka mchina aliyezitengeneza
 
Ujinga zaidi ni pale mwanaume unapozishika shika nywele za wigi za mwanamke ukitegemea unampandisha hisia demu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀😀 ---Kazi kweli kweli
 
kweli ase hii haijakaa poa sana kwa hawa madada wa style hii.kuwa natural bhana na vitu vyako acheni kuunga unga au kulazmisha mauremboo
 
Back
Top Bottom