Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

si utafute wako mwenyewe yaani unangojea ndoa ivunjike ndo upate mke
jaribu kumwangukia mimisa kabla hajafunga hii mpya pengine atakuelewa.

Afu hakuigusa kopo yako na my Swaiba mr. R !
Au kwa vile u'mamiye mstaafu?
 
Last edited by a moderator:
nije nyumbani?

usije jikaze kiume mpaka kieleweke we mtoto wa kiume unashindwa na Madame B nenda kamchukue Chocs kwa Erickb52 ila Kipipi ni shangazi yako Bishanga atakunyofoa kifanyio usirudi nyumbani mpaka utuletee mwenga wa kulea mdogo wako naona biashara ya babaako kule tandale inalegalega
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…