Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

hapo kwa Chocs kazi ipo.... sawa mama sitorudi, itabidi nitii ulichoniambiaa, Baba nasikia anajenga ghorofa huko... pesa nyingi anapeleka kwenye ujenzi... alafu sosoliso nae alienda kumkopa


usije jikaze kiume mpaka kieleweke we mtoto wa kiume unashindwa na Madame B nenda kamchukue Chocs kwa Erickb52 ila Kipipi ni shangazi yako Bishanga atakunyofoa kifanyio usirudi nyumbani mpaka utuletee mwenga wa kulea mdogo wako naona biashara ya babaako kule tandale inalegalega
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
utajijuuuuuuuuu........... tuwache na familia yetu,... baba yangu Bishanga anakuhusuuu?
na kwetu nisikuone... nitafungulia mbwa

nitakuja sana kumsalimia
mama ako na si wewe,wala baba ako
wale mbwa koko ndio wanitisha khaaaa!!
 
Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa.
Huo ndo usia wa Baba.

Lol.. Ushauri mzuri huu toka kwa baba kwenda kwa "a renegade" son.. Hivi ni kweli Bishanga wewe..! Kweli busara inakuwepo unapokuwa umechalala..
 
Last edited by a moderator:
mmh! naona ujipendiiiiii......... eeeh? sasa wewe jidai kuja, kwanza sifungui geti, na ukiingia ndani utakaa nje, usije tuchafulia nyumba yetu.. na sito ruhusu umbebe mdogo wangu wala kuonana na daddy Bishanga maana hamchelewi kuanza kuomba pesa



nitakuja sana kumsalimia
mama ako na si wewe,wala baba ako
wale mbwa koko ndio wanitisha khaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
mmh! naona ujipendiiiiii......... eeeh? sasa wewe jidai kuja, kwanza sifungui geti, na ukiingia ndani utakaa nje, usije tuchafulia nyumba yetu.. na sito ruhusu umbebe mdogo wangu wala kuonana na daddy Bishanga maana hamchelewi kuanza kuomba pesa

thubuuutuuuu!!nadhani kwangu unapajua uzuri
utapafananisha na kwenu loooool,loya alijipanga
bana before, peleka ujinga huko!!!
 
loya kafulia, na kila siku anakuja home masaki kumuomba Bishanga pesa..... utajibebaa. na kuanzia kesho akija home hapati kitu, pesa zote anaanza kukaa nazo mama ..... maana baba kwakua anahuruma ndio maaana mna msumbu sana!



thubuuutuuuu!!nadhani kwangu unapajua uzuri
utapafananisha na kwenu loooool,loya alijipanga
bana before, peleka ujinga huko!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom