Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 369
- 1,093
Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua jero tu "tena anaweka na kachumbali" aiseee Roho iliniuma sana.
KISA: eti mlevi mmoja ametoroka kambini amekuja mtaani kwa ajili ya demu, akajichanganya kwenye kijiwe Cha bangi na pombe akajichanganya kwa wahuni na kuanza kujisifia kwa yeye ni askari na hawezi kufanywa chochote, picha linaanza kamgusa mwamba ambaye Maisha ya mtaani yamemshinda. Mwamba Katia battle 12 tena kifuani kwenye moyo, then muhuni kasepa.
Nyie wahuni wa hapo KM Mombasa hamjui chochote mkaanza kuingia mtaani na kuwapiga watu wasio na hatia kwa ajili ya muhuni mpumbavu mwenzenu.
Sasa nimepata tetesi kwamba mtakuja baada ya kumzika huyo muhuni mwenzenu.
Hii taarifa itawafikia hapo kambini kwenu, sasa mje mara ya pili ili mjue kwanini Mama Huwa anaambiwa amkanye mwanae.
Nawasilisha kwa majonzi ya chakula kumwagwa na wahuni tu. Pumbavu kabisa.