Fikiria zaidi mkuu,Ni vile umeamua kuangalia ila hata hapo ulipo wapo watumishi wa Mungu wakitoa huduma hizi hizi zinazotolewa na hao manabii na mitume tofauti ni kwamba Hawa wa mjini huwa na wafuasi wengi sana sababu mjini watu ni wengi na wale wa vijijini na miji midogo huwa na wafuasi wachache
Teh teh teh!Ngoja kwanza myahudi Cohen.Toa majibu acha kucheka cheka hapa, usiogope samrt phone warriors
WAHUNI WANATAFUTA WAPI KUNA HELAKila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc.
Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar ni chafu kiroho sana kupelekea wote kuwako huko.
Kwa uhalisia wa kibinadamu hawa watu wanaenda Dar for commercial purposes maana Dar inamzunguko mkubwa wa watu kupelekea sadaka kuwa nyingi.
ANYWAY, JIFUNZE KUJISIMAMIA KIMAOMBI, TOFAUTI NA HAPO UTASHINDIA KWENYE MAJUMBA YA MAOMBI YAO KUWAABUDU NA KUWAFAIDISHA HAO JAMAA.
mkuu nani kakuambia sisi huku tarime tunahitaji hizo huduma za kulipiaKila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc.
Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar ni chafu kiroho sana kupelekea wote kuwako huko.
Kwa uhalisia wa kibinadamu hawa watu wanaenda Dar for commercial purposes maana Dar inamzunguko mkubwa wa watu kupelekea sadaka kuwa nyingi.
ANYWAY, JIFUNZE KUJISIMAMIA KIMAOMBI, TOFAUTI NA HAPO UTASHINDIA KWENYE MAJUMBA YA MAOMBI YAO KUWAABUDU NA KUWAFAIDISHA HAO JAMAA.
ndio mkuuUkoo wako ni wa nyaigela?
hiyo ni familia ,siyo ukooMimi wangu ni Chacha Manko
Koo za kikurya ni wairege,wanyabhasi,wakira,wanyamongo na the likeMimi wangu ni Chacha Manko
waende na Simiyu,Kondoa,katavi,Mbinga sio kulundikana Mjini,Pembezoni mwa nchi Watu ni wengi wanahitaji Huduma za kirohoKila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc.
Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar ni chafu kiroho sana kupelekea wote kuwako huko.
Kwa uhalisia wa kibinadamu hawa watu wanaenda Dar for commercial purposes maana Dar inamzunguko mkubwa wa watu kupelekea sadaka kuwa nyingi.
ANYWAY, JIFUNZE KUJISIMAMIA KIMAOMBI, TOFAUTI NA HAPO UTASHINDIA KWENYE MAJUMBA YA MAOMBI YAO KUWAABUDU NA KUWAFAIDISHA HAO JAMAA.
Sema tu Dar kuna wajinga wengi🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja niishie kucheka.Maana kichwa changu nakijua kwa kutoa majibu.Nitawakera wapendwa. 🙏