Nyie wakuitwa manabii na mitume kwa nini wote mnakimbilia Dar? Kwani huku wilayani hakuna asiyehitaji upako wenu?

Nyie wakuitwa manabii na mitume kwa nini wote mnakimbilia Dar? Kwani huku wilayani hakuna asiyehitaji upako wenu?

Mijini kuna idadi kubwa ya watu wenye msongo wa mawazo na matatizo ya afya.
Pia wana kipato cha ahueni wanaokamuliwa kirahisi.
 
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?

Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc.

Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar ni chafu kiroho sana kupelekea wote kuwako huko.

Kwa uhalisia wa kibinadamu hawa watu wanaenda Dar for commercial purposes maana Dar inamzunguko mkubwa wa watu kupelekea sadaka kuwa nyingi.

ANYWAY, JIFUNZE KUJISIMAMIA KIMAOMBI, TOFAUTI NA HAPO UTASHINDIA KWENYE MAJUMBA YA MAOMBI YAO KUWAABUDU NA KUWAFAIDISHA HAO JAMAA.
Unaoakuaje upako km una wasiwasi
 
Back
Top Bottom