Nyie 'wala wake za watu'

Nyie 'wala wake za watu'

Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Umeoa?
 
Haya mambo yapo toka enzi na enzi na hayakuleta matatizo lakini sasahivi vijana mafriji hayagandishi na ndio kinachowatia hasira wagongewaji. Tisaidianae lakini tusitiriane😜
 
sasa mkuu kwanini umteke mwezio?
in the name of ndoa
unataka kumteka asiende kuliwa anapotaka kwenda,
simple tu mzee yanin kuweka kauzibe, amechoka nawewe aende zake .

KATAA NDOA MKUU
Ndoa ndoano. Kasema mie?! Hapana. Siku hizi hangaikia damu yako(watoto),kama utabahatika wakawa wa kwako. Mtoto wa mama mwingine,achana nae. Kaamua kua kunguru. Utamfuga? Af,kama mtu atadhiliki kuzaa na mwanaume mwingine,af wewe unaekaa nae(sisemi uliemuoa,maana siku hizi holewi mtu),
Hivi kuna ka-releaf huwa mnakapata mkiwalaumu wanawake kwa matatizo yenu eeh!!!
Hata hatuwalaumu. Wanajifanyaga wana machungu na watoto wa wanawake wenzao,huku ndo wahuni wa kutupwa. Hako ka relief mnakapataga nyie mkizaa nje na kuwadanganya mnaokaa nao kwamba ndo wenye mimba na watoto? Mkome sasa
 
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.

Kwanza hamna hata huruma?

Sometime wanaume tunaangushana

SIJUI KAMA UNALIJUA HILI.
UKIISHA LALA NA MWANAMKE, HATA KAMA ATAOLEWA, AKAWA MAMA KANISA, AKAWA NA CHEO, BADO NAFASI YA KUMLALA IPO PALE PALE, KWA SBB UKIISHA LALA NA MWANAMKE/MWANAUME TAYARI MNAKUWA KWENYE MAFUNGAMANO.
MWANAMKE AKIOLEWA, NI MARA CHACHE KUCHEPUKA NA MWANAUME MPYA, ILA WALE WA KABLA YAKO. NI KAWAIDA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.1 Kor 6:16

sasa kwa nini nishindwe kulala na niliyelala naye kabla, aliyeolewa?
 
Wake za watu kuliwa haitakuja kuisha kutokana sa sababu mbali mbali mambo mengine ni kuyaacha tu yaendele yanavoenda huwez kumchunga mwanamke asiliwe maamuzi ni yake mkononi
Hili andiko limeelekezwa kwetu wanaume na sikwawanawake siunajua lakini. Kama tunarukana futi sita hivi hapa kwenye mtandao ndio tunajifariji kwakusema wanawake hawapendani[emoji23][emoji23][emoji23]. Unafiki unafiki tu ausio unyama unyama tu[emoji1787][emoji1787]
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
kwahiyo wewe ukajiona mtetezi wa wanawake wasiojaliwa na wanaume zao, ipo siku yako tembea na mafuta nyoa nywele za tigo usije ukachubuka
 
Siku hizi wanatembea uchi kusaka wagongaji. Anakupa lift mapaja yote yapo nje unaingiza tu mkono
 
Faida ya kula wake za watu ni kwamba; siku mkeo akiliwa utaweza kujipa faraja kwamba walau hata mimi huwa nawala..

Shida ni ujifanye Mtakatifu afu Mkeo atiwe, matokeo yake ndiyo tunaona watu wanaua au Kujiua..
 
SIJUI KAMA UNALIJUA HILI.
UKIISHA LALA NA MWANAMKE, HATA KAMA ATAOLEWA, AKAWA MAMA KANISA, AKAWA NA CHEO, BADO NAFASI YA KUMLALA IPO PALE PALE, KWA SBB UKIISHA LALA NA MWANAMKE/MWANAUME TAYARI MNAKUWA KWENYE MAFUNGAMANO.
MWANAMKE AKIOLEWA, NI MARA CHACHE KUCHEPUKA NA MWANAUME MPYA, ILA WALE WA KABLA YAKO. NI KAWAIDA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.1 Kor 6:16

sasa kwa nini nishindwe kulala na niliyelala naye kabla, aliyeolewa?
Ndo maana mwanamume jitahidi uwe na ma-ex wengi mlioachana kwa amani inalipa sana ndugu yangu

Baadaye utawagonga sana wengine watakuwa tayari wake za watu wengine wachumba za watu. Hauna gharama yoyote wote wanakuwa makoloni yako

Cha muhimu wakati uko nao kwenye mahusiano shoo zako zisiwe mbovu
 
~ Wengine hawasemi kama wao ni WAKE ZA WATU.
~ Na wengine wanataka wenyewe tena 'anasimamia kilakitu' mwenyewe.

Ni kweli hatupendi lakini UBWIRU nao unakaba koo! [emoji39][emoji518]
Unakuta mke hatombwi vizuri ila pesa anapewa sana mazawadi ila mume kumkaza ni mara 2 kwa mwezi. Tena anapiga bao moja tu hii ni balaa.
 
Back
Top Bottom