Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.

Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza ita wanafanya High profile prostitution.

Sasa toka mwaka huu uanze wawili kati yao (mmoja wa Dar na mwngne wa Moro) wananiletea habari za kutaka niwaoe, wote wanajua mie bachela, wamekomaa kuwahi goli hadi kuna muda nablock sababu washajiozesha kwangu bila hata hiari yangu.

Juzi nlikua Moro, huyo wa moro nmekuta kanichinjia jogoo kabisa na kawaida baada ya kukaa siku kadhaa kawaida huwa namuachia kama 200k hadi 500k sometimes ila this time kaikataa kabisa anakomaa awe mke halali. Moyoni nikacheka tu.

Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.
Hio haiitwi highly profile prostitution,bali huitwa "Transactional sexual workers"........ni among the commonest cause ya H.I.V transmission nowdays
 
Hivi kwanini ndoa zimekuwa changamoto sana siku hizi? Wanawake mmekuwa na complications nyingi sana nahisi hivyo. Halafu utakuta hao wenye 30+ bado wanajimwambafy hawataki kuolewa bado bado kumbe roho zinawauma na kuwasuta. Ifikie wakati wanawake mbadirike aiseee, akitokea Mwanamume kakuelewa na anataka kukuoa ridhika naye kama maisha mazuri huwa yanatafutwa lakini kutaka mwanamume mwenye good life akufuate aje akuoe hiyo ni ngumu sana na kwa kifupi Wanaume wengi wenye mafanikio huwa wanapitia magumu mengi sana na suala la kuoa kwake linakuwa ni gumu kidogo kwa asilimia kubwa na atakachokuwa anakifanyiwa ni kupiga rungu na kuzalisha tu. Wanawake mbadirike musiwe mnakuwa na ubaguzi unless otherwise mambo yataendelea kuwaendea harijojo tu.
 
Mna ubavu wetu nyinyi Wanawake, tukiwa tunawadai huwa mnaturingia kutupatia na Sisi tukiwasusia huwa mnapeleka sehemu ambazo sio sahihi aisee. Wanaume tuheshimike hata kama ni Waalimu, Wabeba Zege au Wapiga debe
Ni utani tu
 
Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.

Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza ita wanafanya High profile prostitution.

Sasa toka mwaka huu uanze wawili kati yao (mmoja wa Dar na mwngne wa Moro) wananiletea habari za kutaka niwaoe, wote wanajua mie bachela, wamekomaa kuwahi goli hadi kuna muda nablock sababu washajiozesha kwangu bila hata hiari yangu.

Juzi nlikua Moro, huyo wa moro nmekuta kanichinjia jogoo kabisa na kawaida baada ya kukaa siku kadhaa kawaida huwa namuachia kama 200k hadi 500k sometimes ila this time kaikataa kabisa anakomaa awe mke halali. Moyoni nikacheka tu.

Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.
💯💯💯
Kabisaa
 
Tuacheni bana… ya kesho yatajipambania yenyewe
Yan niache kuringa kisa kuogopa 3rd floor 🌚
Nije kujikuta kwenye chaka sio langu, ndoa iwe ndoano🤭
Au sio let tommorow worry about itself 😁🍻
 
Wengine yan basi tu
Kuna huyo mmoja, alikuwa n ticha
Jioni nikipita kazini kwake unakuta ana michaki mpk kwenye nguo.
Kwani kaka ukiwa mwalimu ndio lazima ubaki na uthibitisho wa michaki??
Unamuelekeza mtu haelekei
Cha kufia nn
Ungemvumilia tu hivyo hivyo angekuja kubadilika 😁 alafu kwan kubak na chaki kujulikana mwalimu kuna ubaya gan 😁
 
10k unashea na wengi sana

Kwa hizo price unaweza kukuta hata uko peke yako, mkiwa wengi maximum ni watano sababu sio kila mtu ataafford na ukiangalia pisi inakua haijulikana kama inauza, less competition!
Nakuunga mkono.
 
Hivi kwanini ndoa zimekuwa changamoto sana siku hizi? Wanawake mmekuwa na complications nyingi sana nahisi hivyo. Halafu utakuta hao wenye 30+ bado wanajimwambafy hawataki kuolewa bado bado kumbe roho zinawauma na kuwasuta. Ifikie wakati wanawake mbadirike aiseee, akitokea Mwanamume kakuelewa na anataka kukuoa ridhika naye kama maisha mazuri huwa yanatafutwa lakini kutaka mwanamume mwenye good life akufuate aje akuoe hiyo ni ngumu sana na kwa kifupi Wanaume wengi wenye mafanikio huwa wanapitia magumu mengi sana na suala la kuoa kwake linakuwa ni gumu kidogo kwa asilimia kubwa na atakachokuwa anakifanyiwa ni kupiga rungu na kuzalisha tu. Wanawake mbadirike musiwe mnakuwa na ubaguzi unless otherwise mambo yataendelea kuwaendea harijojo tu.
Sure,

Huu ushauri Depal uchukue ufanyie lamination uwe unauangalia kila siku kabla ya kulala, Aaliyyah nawe ni bora ufanye hvo mtanishukuru baadae.

Waoaji sio masharobaro kama mnavotaka
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baadae akaja kuwa Rais
Mwalimu John Pombe Magufuli (rip) baadae akawa rais
Na huyo Mwalimu aliyekimbiwa na Depal ni future prezident wa baadae 🤣 🤣 🤣
Ila huyu Depal hana akili (joking...) hv unajua mwalimu anaemiliki gari na hajafikisha 40 years ni hazina? Kazi zao hizo lkn bado kajikakamua kuwa na subaru forester huoni kama ni hazina na ako na promising future? Wachakalikaji tu ndo tutaelewa
 
Back
Top Bottom