Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu


Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili nijiunge kifurush cha mwezi si nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho mimacho yao had nikajiuliza hawa watu vp mbona wanashangaa sana kulikon. Kwahiyo nyie watu wa dar kibulungutu cha milion tatu ni hela nyingi sana au njaa tu zinawasumbua


Sikuishia hapo baada ya kutoka hapo nikaingia hotelin kupiga chai kidogo ili nikamilishe mambo yangu kesho nipate kugeuka mwanza. Nikafika hotelin nikaagiza chapati zangu nane acha watu wanikodolee macho tena nikaagiza na chai ya maziwa vikombe vitatu acha washangae tena


Hiv nyie watu wa dar mnavyoshindia biskut ndo mnazan kila mtu anaweza kushindia kashata na kahawa?

Badiliken bhana achen ushamba wenu wa kushangaa watu

Sasa milion tatu mnashangaa kitu gan kuagiza vi chapat ambavyo havifiki hata kumi mnashangaa kitu nini, kunywa chai ya maziwa vikombe vitatu ndo mtoe mimacho kias hicho


Badiliken bhana


NANYUPU


LONDON BABY
 
haha hahaha pamoja Mkuu piga chai ya Nguvu Wakikushangaa tena Nambie tuwape somo
 
Bro wachane tu hamna namna kwa maan namba wanasomeshwa na mwngn ila mapovu wanakuletea wew
 
haha hahaha pamoja Mkuu piga chai ya Nguvu Wakikushangaa tena Nambie tuwape somo
Hahahaaa pamoja mkuu hawa watu ni wa ajabu sana kiongoz yaan wanashangaa mtu kunywa chai vikombe vitatu
 
Hahahaaa pamoja mkuu hawa watu ni wa ajabu sana kiongoz yaan wanashangaa mtu kunywa chai vikombe vitatu
Hiyo ni kawaida Sana kwa sisi watu wa Mikoani,wanajizubaisha na Supu ya Pweza weeee Ila wakiingia Uwanjani....kimoja tu chali ....... Unaibiwaaaaaaaa......rayvann
 
Bro wachane tu hamna namna kwa maan namba wanasomeshwa na mwngn ila mapovu wanakuletea wew
Namba wanasomeshwa na mzee wa kolomije alafu povu wanaleta kwangu, acha tu wamwage povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…