Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

6fd115d7eafb2e5e6d2aaad25dc1f832.jpg

Bangi ,pombe
Sawa mkuu lakin ukweli umepenya
 
Aisee kwahiyo wewe unajua kuwa mimi hapa natafuta ajira? Mbona nyie watu wa dar hamuwaz tofaut na kujiajir yaan nyie mnawaza kuajiriwa tu
Read between the lines. Nani kakwambia Mimi mtu wa dar?
Ninacho maanisha story yake iko kwenye wonder land ya Alice.
 
Hiyo ni kawaida Sana kwa sisi watu wa Mikoani,wanajizubaisha na Supu ya Pweza weeee Ila wakiingia Uwanjani....kimoja tu chali ....... Unaibiwaaaaaaaa......rayvann
Hata hiyo supu ya pweza hiv inajaa kweli hata kibakul au ikoje hiyo
 
Hata hiyo supu ya pweza hiv inajaa kweli hata kibakul au ikoje hiyo
Hapo sasa atajaza ataweza?/... Trust me ukila ukishiba Vizuri ndo na Nguvu zinatokea Ila ukila kwa kujifanya wew cjui kimodo cjui Nini hapo wenyewe wanajua .... Nguvu atapata za kujamba tu [emoji106][emoji33][emoji16][emoji16]
 
..........nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho ..
Walikushangaa sana kwasababu ni mara chache sana kumkuta mtu makini ana Million tatu mkononi. Binafsi nikiwa na pesa nyingi mifukoni ni laki moja au mbili kwa matumizi madogo madogo ya siku hiyo kama lunch nakadhalika. Ni ushamba sana siku hizi kubeba bulungutu la minoti mikononi vinginevyo watu Kama Mengi, Rostam au Manji wangeota misuli wangeendekeza ushamba huo
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu


Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili nijiunge kifurush cha mwezi si nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho mimacho yao had nikajiuliza hawa watu vp mbona wanashangaa sana kulikon. Kwahiyo nyie watu wa dar kibulungutu cha milion tatu ni hela nyingi sana au njaa tu zinawasumbua


Sikuishia hapo baada ya kutoka hapo nikaingia hotelin kupiga chai kidogo ili nikamilishe mambo yangu kesho nipate kugeuka mwanza. Nikafika hotelin nikaagiza chapati zangu nane acha watu wanikodolee macho tena nikaagiza na chai ya maziwa vikombe vitatu acha washangae tena


Hiv nyie watu wa dar mnavyoshindia biskut ndo mnazan kila mtu anaweza kushindia kashata na kahawa?

Badiliken bhana achen ushamba wenu wa kushangaa watu

Sasa milion tatu mnashangaa kitu gan kuagiza vi chapat ambavyo havifiki hata kumi mnashangaa kitu nini, kunywa chai ya maziwa vikombe vitatu ndo mtoe mimacho kias hicho


Badiliken bhana


NANYUPU


LONDON BABY
Umeniingiza mjini kama hao watu waliokukodolea macho
 
Mtu mwenyewe unajiita Baby boy halafu watu wanategemea utaleta mada ya maana zaidi ya story zenu za instargram
 
Back
Top Bottom