Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
Kwanza watu wenye hela huwa hawatembei na mabulungutu wajameni,kweli wewe ni wa mkoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa kiongoz wanashindia biskut huwez aminHapo sasa atajaza ataweza?/... Trust me ukila ukishiba Vizuri ndo na Nguvu zinatokea Ila ukila kwa kujifanya wew cjui kimodo cjui Nini hapo wenyewe wanajua .... Nguvu atapata za kujamba tu [emoji106][emoji33][emoji16][emoji16]
Mkuu mimi huwa naona usumbufu sana sijui mara niingie tigo pesa sijui mara niingie bank ndo maana huwa naona bora nitembee na bulungutuDuh. Bado watu wanatembea na mabulungutu ya fedha wakati wengine tunatembea na mabulungutu ya kadi.
Lekagi buchilochilo babehi.
Kutembea na bulungutu ni ujima.Mkuu mimi huwa naona usumbufu sana sijui mara niingie tigo pesa sijui mara niingie bank ndo maana huwa naona bora nitembee na bulungutu