Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Read between the lines. Nani kakwambia Mimi mtu wa dar?
Ninacho maanisha story yake iko kwenye wonder land ya Alice.
Mbona umetoka nje ya mada afu naona umeanza kuchanganya na kikrsto
 
Hapo sasa atajaza ataweza?/... Trust me ukila ukishiba Vizuri ndo na Nguvu zinatokea Ila ukila kwa kujifanya wew cjui kimodo cjui Nini hapo wenyewe wanajua .... Nguvu atapata za kujamba tu [emoji106][emoji33][emoji16][emoji16]
Hawa jamaa kiongoz wanashindia biskut huwez amin
 
Endelea kuota ...ila ukiamka usisahau kunawa maji usoni halafu ndo uende kununua maandazi ya chai usijeenda na matongotongo bure
 
Duh. Bado watu wanatembea na mabulungutu ya fedha wakati wengine tunatembea na mabulungutu ya kadi.

Lekagi buchilochilo babehi.
Mkuu mimi huwa naona usumbufu sana sijui mara niingie tigo pesa sijui mara niingie bank ndo maana huwa naona bora nitembee na bulungutu
 
Mkuu mimi huwa naona usumbufu sana sijui mara niingie tigo pesa sijui mara niingie bank ndo maana huwa naona bora nitembee na bulungutu
Kutembea na bulungutu ni ujima.

You might as well walk with a cart of sweet potatoes.
 
Back
Top Bottom