MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Beira Baby Boy ! pitia bas kwenye tigopesa yangu beibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Umefurahii kusikia tusi la bibi yako eeh?ahahahha tusi la bibi yangu hilo aisee !ahahah olenchionchilo
Hahaha. Umefurahii kusikia tusi la bibi yako eeh?
Bibi wa Kisukuma akikwambia hivyo ujue hapo umeharibu mambo kabisa.
Karibu tena DarAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili nijiunge kifurush cha mwezi si nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho mimacho yao had nikajiuliza hawa watu vp mbona wanashangaa sana kulikon. Kwahiyo nyie watu wa dar kibulungutu cha milion tatu ni hela nyingi sana au njaa tu zinawasumbua
Sikuishia hapo baada ya kutoka hapo nikaingia hotelin kupiga chai kidogo ili nikamilishe mambo yangu kesho nipate kugeuka mwanza. Nikafika hotelin nikaagiza chapati zangu nane acha watu wanikodolee macho tena nikaagiza na chai ya maziwa vikombe vitatu acha washangae tena
Hiv nyie watu wa dar mnavyoshindia biskut ndo mnazan kila mtu anaweza kushindia kashata na kahawa?
Badiliken bhana achen ushamba wenu wa kushangaa watu
Sasa milion tatu mnashangaa kitu gan kuagiza vi chapat ambavyo havifiki hata kumi mnashangaa kitu nini, kunywa chai ya maziwa vikombe vitatu ndo mtoe mimacho kias hicho
Badiliken bhana
NANYUPU
LONDON BABY