Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Hahaha. Umefurahii kusikia tusi la bibi yako eeh?

Bibi wa Kisukuma akikwambia hivyo ujue hapo umeharibu mambo kabisa.


nilikua nacheka sana sana jaman !wasukuma wana asili ya kutukanaga tu sijui y!
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu


Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili nijiunge kifurush cha mwezi si nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho mimacho yao had nikajiuliza hawa watu vp mbona wanashangaa sana kulikon. Kwahiyo nyie watu wa dar kibulungutu cha milion tatu ni hela nyingi sana au njaa tu zinawasumbua


Sikuishia hapo baada ya kutoka hapo nikaingia hotelin kupiga chai kidogo ili nikamilishe mambo yangu kesho nipate kugeuka mwanza. Nikafika hotelin nikaagiza chapati zangu nane acha watu wanikodolee macho tena nikaagiza na chai ya maziwa vikombe vitatu acha washangae tena


Hiv nyie watu wa dar mnavyoshindia biskut ndo mnazan kila mtu anaweza kushindia kashata na kahawa?

Badiliken bhana achen ushamba wenu wa kushangaa watu

Sasa milion tatu mnashangaa kitu gan kuagiza vi chapat ambavyo havifiki hata kumi mnashangaa kitu nini, kunywa chai ya maziwa vikombe vitatu ndo mtoe mimacho kias hicho


Badiliken bhana


NANYUPU


LONDON BABY
Karibu tena Dar
 
Lakn kwenye lile burungu2 la mapesa m3, nadhan utakua hujamalza hata lak 5...bas 2pia kapcha ukiwa umelshklia kama ushahd 2 boss.
Sasa mkuu nikifanya hivyo hawa watu wa dar si watangaza kwenye ile tv yao ya itv
 
Back
Top Bottom