usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Read between the lines. Nani kakwambia Mimi mtu wa dar?Aisee kwahiyo wewe unajua kuwa mimi hapa natafuta ajira? Mbona nyie watu wa dar hamuwaz tofaut na kujiajir yaan nyie mnawaza kuajiriwa tu
Hata hiyo supu ya pweza hiv inajaa kweli hata kibakul au ikoje hiyoHiyo ni kawaida Sana kwa sisi watu wa Mikoani,wanajizubaisha na Supu ya Pweza weeee Ila wakiingia Uwanjani....kimoja tu chali ....... Unaibiwaaaaaaaa......rayvann
Anapiga fix eti burungutu LA milion 3 kwa vocha ya elfu 50. SMHMtandao gani ambao kifurushi cha mwezi ni elfu 50
Hapo sasa atajaza ataweza?/... Trust me ukila ukishiba Vizuri ndo na Nguvu zinatokea Ila ukila kwa kujifanya wew cjui kimodo cjui Nini hapo wenyewe wanajua .... Nguvu atapata za kujamba tu [emoji106][emoji33][emoji16][emoji16]Hata hiyo supu ya pweza hiv inajaa kweli hata kibakul au ikoje hiyo
Ndyo matajiri wa JF hawa tuwavumilie tuAnapiga fix eti burungutu LA milion 3 kwa vocha ya elfu 50. SMH
Tajiri ataweka pesa kwenye tigopesa, Mpesa etc atanunua muda wa maongezi hata wa laki huko. Au analipia kwa mwezi.Ndyo matajiri wa JF hawa tuwavumilie tu
Angalia asije akakupiga na million 3 hapoTajiri ataweka pesa kwenye tigopesa, Mpesa etc atanunua muda wa maongezi hata wa laki huko. Au analipia kwa mwezi.
Lakn Tajiri anahangaika na kukwangua vocha kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na akamuongeza na chapati 8.Angalia asije akakupiga na million 3 hapo
London master uyoNa akamuongeza na chapati 8.
Nanyupu hapendi ujinga.
Walikushangaa sana kwasababu ni mara chache sana kumkuta mtu makini ana Million tatu mkononi. Binafsi nikiwa na pesa nyingi mifukoni ni laki moja au mbili kwa matumizi madogo madogo ya siku hiyo kama lunch nakadhalika. Ni ushamba sana siku hizi kubeba bulungutu la minoti mikononi vinginevyo watu Kama Mengi, Rostam au Manji wangeota misuli wangeendekeza ushamba huo..........nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho ..
Umeniingiza mjini kama hao watu waliokukodolea machoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Ebhana leo katika pita pita asubuh hii si nikaona niingie dukan kununa vocha, nikanunua vocha za kama elf hamsin ili nijiunge kifurush cha mwezi si nikazama mfukon nikatoa bulungutu la kama milion tatu hiv acha watu wa dar wanakidoloe na kunitolea mimacho mimacho yao had nikajiuliza hawa watu vp mbona wanashangaa sana kulikon. Kwahiyo nyie watu wa dar kibulungutu cha milion tatu ni hela nyingi sana au njaa tu zinawasumbua
Sikuishia hapo baada ya kutoka hapo nikaingia hotelin kupiga chai kidogo ili nikamilishe mambo yangu kesho nipate kugeuka mwanza. Nikafika hotelin nikaagiza chapati zangu nane acha watu wanikodolee macho tena nikaagiza na chai ya maziwa vikombe vitatu acha washangae tena
Hiv nyie watu wa dar mnavyoshindia biskut ndo mnazan kila mtu anaweza kushindia kashata na kahawa?
Badiliken bhana achen ushamba wenu wa kushangaa watu
Sasa milion tatu mnashangaa kitu gan kuagiza vi chapat ambavyo havifiki hata kumi mnashangaa kitu nini, kunywa chai ya maziwa vikombe vitatu ndo mtoe mimacho kias hicho
Badiliken bhana
NANYUPU
LONDON BABY