Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

walikushangaa jinsi ulivyo analojia bro.... mtu wa digital hawezi kuzurura na m3 afu atoe zote tena achomoe elfu 50.... lol bora urudi kwenu tu.
 
Angalia asije akakupiga na million 3 hapo
ase we jamaa ni kichwa kichafu kweli sijui umewaza nn.....nimesoma hii coment nimechekaa sanaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Back
Top Bottom