Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Sawaa, usiongee kwa sauti kubwa basi, unanivua nguo mchana kweupe!...
Ole wako nikuone tena umeandika neno uludi 😂😂
Sawaa, usiongee kwa sauti kubwa basi, unanivua nguo mchana kweupe!...
We huogopi 😂
Dr Haya Hy atakulipua na tag kubw
Nimedowload hii kitu iko fasta sana,shukrani naishi nayo kuanzia sasaAcha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Mikwala mingi sijui utakuwa na nguvu nyingi zaidi ya anazomiliki Sisimizi.Ole wako nikuone tena umeandika neno uludi
Mikwala mingi sijui utakuwa na nguvu nyingi zaidi ya anazomiliki Sisimizi.
Cheki nimetishia panya umejaa kwenye mtego Chubwiiiii!, sasa unakoelekea tutatwangana makofi.Ni mikwara sio mikwala jamani
Nitakushushia kipigo kikali wewe endelea kuandika lugha zako za ajabu
Samahani nashindwa kuingia Jamii Forum kwa kutumia hiyo 1.1.1.1, nakosea wapi??Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
Fanya hivi:Samahani nashindwa kuingia Jamii Forum kwa kutumia hiyo 1.1.1.1, nakosea wapi??
https://one.one.one.one/
Mea kurupa mea kurupa nimetubuYaani umetuita sisi wakorofi tena manyambisi halafu unategemea msaada kweli!, nenda katubu kwanza hiyo dhambi yako kanisani halafu uludi hapa tukupe muongozo.
Changamoto kwenye simu nhoja nijaribu kuja inbox- Mimi binafi natumia Win 11.
Nje ya mada:
- Kwa sasa tumefika Windows 11 25H2 (Preview)
Stable version:
- Windows 11 24H2
- Windows 11 23H2
- Windows 10 22H2
Nicheki inbox nione jinsi ya kukupatia.
Hii kuna baadhi ya devices zinagoma kufanya kazi.Acha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Haswaa, nimesema mie hapaaHii inachagua baadhi ya vifaa
Utani tu jamani, na wewe vitu vidogo unavi mindYaani umetuita sisi wakorofi tena manyambisi halafu unategemea msaada kweli!, nenda katubu kwanza hiyo dhambi yako kanisani halafu uludi hapa tukupe muongozo.
Kwenye simu inazingua nayo.Mi binafsi huwa natumia Tor ile ya kitunguu
Umetubu au umetukana, umetumia lugha gani hapo?Mea kurupa mea kurupa nimetubu