Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Tusijekulaumiana baadae mkuu.Acha vitisho bwana mdogo
Inawezekana una point ila acha mikwara. 😂 Kuna wale wanasemaga ulitukuta utatuacha siwakubaligi kinoma.Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu. Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa kumchukulia poa mgeni😁.. Nimemaliza.
Point nimeificha ila kama una d mbili Tu umenielewa vizuri ..Inawezekana una point ila acha mikwara. 😂 Kuna wale wanasemaga ulitukuta utatuacha siwakubaligi kinoma.
Noma sana, kuna mwamba fulani yupo kwenye taasisi moja hivi halafu hana cheki nambaNawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa kumchukulia poa mgeni[emoji16].. Nimemaliza.
Nimetoa tahadhari Tu mkuu, wasije kusema wamerogwa au ameonewa...Punguza kisukari kaka. Hata wewe ukijakaa kitengo kuna watu unawatreat ovyo kwa maksudi au bahati mbaya kulingana na mood ya siku husika. Kikubwa ni kutimiza majukumu yako kwa huyo mgeni au mteja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi za kitumwa
Kuna mmoja alitumwa gerezani akawa anaigiza ni mahabusu maaskari magereza walimgundu wakawa wanarusha kichura chura mpaka akaomba atolewe
Kazi za siri hazifai
Ni ngumu sana kumgundua ...2017 niliingia Gereza la butimba.. siku tunaingia jioni hiyo tulikuwa watu watano , wanne walikuwa ni Wana usalama ( sisemi ni kitengo Gani) tulipelekwa moja kwa moja tukapewa chakula na baada hapo tukapangiwa selo ya kulala, ndani ya selo Ile kulikuwa na jamaa wengine watatu jumla tukawa saba .....tumeishi wote mle gerezani mwezi mzima mpaka tukazoeana...mwisho wa yote nilikuja kufahamu wale Wana usalama walitumwa kuja kuwachunguza na kuwapeleleza hawa jamaa watatu ( warundi) siraha walizoingia nazo nchini ili kufanya uhalifu walikuwa wamezificha wapi......Kazi za kitumwa
Kuna mmoja alitumwa gerezani akawa anaigiza ni mahabusu maaskari magereza walimgundu wakawa wanarusha kichura chura mpaka akaomba atolewe
Kazi za siri hazifai
Aaaahh acha mikwara bhanaaa😆😆Nimetoa tahadhari Tu mkuu, wasije kusema wamerogwa au ameonewa...
Mkwara jf? Ningekuwa kwenye kijiwe Cha kahawa hapo sawa.Aaaahh acha mikwara bhanaaa😆😆