Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

Ni ngumu sana kumgundua ...2017 niliingia Gereza la butimba.. siku tunaingia jioni hiyo tulikuwa watu watano , wanne walikuwa ni Wana usalama ( sisemi ni kitengo Gani) tulipelekwa moja kwa moja tukapewa chakula na baada hapo tukapangiwa selo ya kulala, ndani ya selo Ile kulikuwa na jamaa wengine watatu jumla tukawa saba .....tumeishi wote mle gerezani mwezi mzima mpaka tukazoeana...mwisho wa yote nilikuja kufahamu wale Wana usalama walitumwa kuja kuwachunguza na kuwapeleleza hawa jamaa watatu ( warundi) siraha walizoingia nazo nchini ili kufanya uhalifu walikuwa wamezificha wapi......
Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo...... nikiwa na efd recept ya faini ya laki 250,000

Wenye D2 mpooooo
 
Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo......

Wenye D2 mpooooo
Mtoa mada ulipogundua ile ID ya Kwanza tumeiandama umefanya sabu na kuja na ID ya pili ili kutu seduce.
Sasa kwa bahati mbaya tumekubaini oya Manfried jamaa yako kaja na ID mbadala.
 
Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo......

Wenye D2 mpooooo
Wasaidie kuwadadavulia najaribu kuwasanua ili wakae kwa password huko makazini, Kuna mama yupo hapo Tabora kuanzia mwezi wa Tano nitakula nae sahani moja ....
 
Maslahi mapana ya Nchi?Kwa Nchi kam Tanzani?Maslahi yapi hasa?Ofisi zipi hasa?
Tuendekee kukimbizana na Wachina Migahawani,mitaani ,Mashambani kam Vibarua..
Ujinga jinga tu ndio tunaweza..hakunaga kazi maalumu hapo Bongo.
 
Wasaidie kuwadadavulia najaribu kuwasanua ili wakae kwa password huko makazini, Kuna mama yupo hapo Tabora kuanzia mwezi wa Tano nitakula nae sahani moja ....
Kwahiyo unatuma ujumbe indirect way, una uhakika atakusikia huyo mama?? wewe mfuate face to face mpe makavu
 
Back
Top Bottom