Kwahiyo nyie wageni ambao sio powa mnakuja kufukuza watumishi wa muda mrefu kazi?Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa kumchukulia poa mgeni😁.. Nimemaliza.